nchi ya Tanzania si ya wasomi wa ccm tu. hata sisi ambao tulinyimwa elimu chini ya uongozi wa ccm tuna haki ya kusikilizwa kuhusu huu Muungano:A S 465:Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania.
Zaidi fuatilia hapa
m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23844-wasomi-wasisitiza-utaifa-unawezekana-serikali-2
Tanzania haina mkoa huoMkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania...
Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania.
Zaidi fuatilia hapa
m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23844-wasomi-wasisitiza-utaifa-unawezekana-serikali-2
Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania.
Zaidi fuatilia hapa
m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23844-wasomi-wasisitiza-utaifa-unawezekana-serikali-2
Humuungi mkono kwa sababu ni wa ccm au ni kwa sababu ya hoja yake???
MKOA sio lzm uwe katavi au mwanza au shinyanga....neno linaweza kutumika kumaanisha vinginevyo pia km ilivyotumika hapo.
Hao ni wapuuzi.
Serikali mbili aje Tanganyika na Zanzibar?
Waache ujinga,wafanye yote Tanganyika lazima iwepo...vinginevyo tutairudisha wenyewe.