and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,461
- 40,261
Wanapambania matumbo YaoNi muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.
Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000
Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tuna wasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje
Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi
Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao
Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje? Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu
Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
Malalamiko mengi uliyoongea yanatatuliwa kisera zaidi.Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.
Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000
Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tuna wasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje
Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi
Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao
Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje? Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu
Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
Kama makubwa si uyataje?Hakuna kitu hapo angekuja na hoja iliyojaa, alete takwimu za chuo chake kwanza, kimesaidia nini taifa? Bila hivyo huu utakuwa umbea tu, kwanza kuandika hajui.
Waprofesa ndiyo nini?
Garama ndiyo nini anaandika kwenye uzi wake.
Sua inafanya makubwa sana.
Tatizo ni wasomi waliosoma Engineering UDSM wameshindwa kutengeneza hata Trekta moja kiasi kutufanya sisi tuosoma SUA kuendelea kulima kwa Jembe la mkono baada kumaliza chuoNi muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.
Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000
Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tuna wasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje
Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi
Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao
Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje? Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu
Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
Tafuta wewe mwenyewe.Kama makubwa si uyataje?
Ukijumlisha ngano pamoja na mafuta
Ungesema hilo tangu mwanzoAcha liajiri tu kiduchu hawana msaada wowote kwa taifa naona wanaleta hasara tu
Wamekuwa wanafundisha kilimo Cha matikiti na maparachichi na vanilla wanasema zinalipa sana.Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.
Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000
Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tuna wasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje
Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi
Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao
Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje? Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu
Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
Si wasomi wa SUA tu, vipi wana sayansi wetu wanafanya nini cha maana?Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.
Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000
Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tuna wasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje
Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi
Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao
Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje? Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu
Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
Ulitaka wafanye nini kwa mfano? Unafikri hakuna mbegu walizotafiti kwa ajili ya nchi yetu? Usiwalinganishe na wale wa Jalalani ambao wanaishia kutoa ripoti za kinyesi na mikojo!Acha liajiri tu kiduchu hawana msaada wowote kwa taifa naona wanaleta hasara tu
Hizo mbegu unatumia unafikri zimefanyiwa utafiti na darasa la saba?Mimi ni msomi wa darasa la saba nimehitimu mwaka 1999, baada ya hapo nikaingia kwenye kilimo cha mpunga huku mlMbeya kuanzia mwaka 2003 hadi sasa nalima mpunga mimi sio msomi lakini nimelisaidia Taifa kutoagiza mchele nnje upo wa kutosha yani
Sasa nyie wasomi mtueleze elilu yenu mmeisaidia nini serikali kutoagiza mafuta ya kula na ngano nnje ya nnchi
Majibu kwa baadhi ya maswali yako unayo mwenyewe lakini bado unawalaumu wataalamu wa SUA? You cant be serious dude!Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi