Omary Mwenda
Member
- May 20, 2011
- 10
- 0
TANZANIA imebarikiwa kuwa na UTAJIRI WA WASOMI WENGI ambao huzalishwa kila kukicha, WASOMI HAWA WA KARNE YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA wamegeuza SIASA KM MTAJI na kusahau jukumu lao la msingi ktk TAIFA kwa kukubali kuwa WASHABIKI WA SIASA ZISIZOKUWA NA MASLAHI KWA MWANANCHI HOHE HAHE! WASOMI ambao wameegemea ktk hoja zenye KUBEZA kuliko KULETA MAPENDEKEZO YA MABORESHO KWA SERIKALI! Wasomi waliolelewa ktk MISINGI YA UOGA YA KULAZIMISHWA KUKUBALIANA NA FIKRA MFU! JE TUTAFIKA??!
Kinachoniudhi unawakuta wataalamu wanaacha siasa wanaenda kugombea ubunge. Wanapoteleza kabisa huko kwenye siasa na fani zao wanaziacha. Hakuna ubaya kwa wasomi kuwa wanasiasa, kama kama hata ma-experts wa fani nyeti nao wanakuwa wanasiasa ni mbaya kwa kweli.
Mabadiliko ya ukweli yanapatikani mjengoni so wasomi wanatakiwa kwenda kurekebisha,kutunga,kuondoa sheria mfu,wanatakiwa kuonesha mikataba mibovu inayoangamiza nchi iwe kiza cos of 10%,na uzalendo wa kweli ni huo cos wanakwenda kulinda rasilima ya nchi hii kwa manufaa ya watanzania wote,au ww ni wale wenye mawazo siasa ni za wazee?Nilichomaanisha ni kwamba UTAJIRI WA WASOMI wanaokimbilia ktk SIASA UNATAKIWA kuwa na manufaa kwa wananchi na Taifa badala ya kukimbilia siasa km njia ya kujikwamua kimaisha! Pili FIKRA MFU ni fikra zisizoleta athari ya mabadiliko ktk jamii! Mwisho ni lazima ifikie MAHALI TURUDISHE UZALENDO NA TUWE NA UCHUNGU NA TAIFA!
Sijakupa vizuri mheshimiwa. Je, unataka siasa waachiwe wasio wasomi au vipi? Au unajaribu kumaanisha nini? Labda tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira baada ya kumaliza masomo.