Wasomi wa CHADEMA okoeni chama chenu dhidi ya uhuni huu

Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa makusudi hawafanyi lolote zaidi ya maandamano.

Hii si mara ya kwanza, kila unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema wahuni wachache wanaotaka kubakia kwenye nyadhifa zao hulazimika kuanzisha schemes za kuwabakisha madarakani kwa kuvuruga chaguzi au kuzisubirisha bila sababu ya msingi. Wote tunajua hii mchezo huu unafanywa na Mzee wetu Mbowe.

Bila kujali athari zake, nimeamua kutoka ili nieleze umma na kuwataka wanazuoni wa chadema kuchukua hatua haraka kukinusuru chama chenu dhidi ya uhuni unaofanywa na baadhi ya viongozi. Anayetaka kubisha aseme ni tija ipi imepatikana kwa maandamano ya Dar es salaam na Mwanza?

Mwisho, ikiwa mikutano ya hadhara imeruhusiwa na haifanyiki, Je ni sababu gani inayokwamisha? Kama ni Fedha, tayari chama kimepokea mabilioni ya ruzuku, fedha hii inatumika wapi? Na kama imetumika tayari ni nani anayedhamini maandamano ya Chadema ila hataki kudhamini mikutano ya hadhara ili kujenga chama? Jibu liko wazi ni utapeli tu, ifike wakati wanazuoni ndani ya Chadema wajitokeze kukemea uhuni unaoendelea kuangamiza uhai wa chadema.
Fanya yanayokuhusu Manka!
Siamini Kama nawe unajiita msomi halafu unajipa umuhimu wa kuishauri familia usiyo na nasaba nayo! Haya ni matumizi mabaya ya akili.
Nikuulize, zile sanaa za makonda zimeleta tija gani nchini? Au ndio Yale ya nyani haoni kundule?
Inajulikana ccm mkiona hamkubaliki huanza na project za chokochoko za chaguzi za ndani za vyama pinzani ili wapandikize mapandikizi Yao! Hiyo ni laana na itawamaliza! Kama kweli ccm mna Nia ya dhati ya kuijenga nchi hii kiuchumi mnaogopa nini Hadi mkayajaze mapandikizi yenu kwingineko na kusababisha vurugu? Ref. Nccr sasa! Ni ccm hao wanaibomoa.
Shughulikeni na namba ya kuyapatanasha makundi hasimu ndani ya ccm kabla ya kumtaka jirani ajirekebishe! Na kwanini ccm haimtaki Mbowe awe mwenyekiti cdm? Mna shida gani naye? Mwacheni na iacheni cdm na taratibu zake kwani hazijavunja Sheria za nchi! Umeelewa manka? Japo unajiita jina la kichaga lakini wewe siyo ni kishoiya!
 
Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa makusudi hawafanyi lolote zaidi ya maandamano.

Hii si mara ya kwanza, kila unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema wahuni wachache wanaotaka kubakia kwenye nyadhifa zao hulazimika kuanzisha schemes za kuwabakisha madarakani kwa kuvuruga chaguzi au kuzisubirisha bila sababu ya msingi. Wote tunajua hii mchezo huu unafanywa na Mzee wetu Mbowe.

Bila kujali athari zake, nimeamua kutoka ili nieleze umma na kuwataka wanazuoni wa chadema kuchukua hatua haraka kukinusuru chama chenu dhidi ya uhuni unaofanywa na baadhi ya viongozi. Anayetaka kubisha aseme ni tija ipi imepatikana kwa maandamano ya Dar es salaam na Mwanza?

Mwisho, ikiwa mikutano ya hadhara imeruhusiwa na haifanyiki, Je ni sababu gani inayokwamisha? Kama ni Fedha, tayari chama kimepokea mabilioni ya ruzuku, fedha hii inatumika wapi? Na kama imetumika tayari ni nani anayedhamini maandamano ya Chadema ila hataki kudhamini mikutano ya hadhara ili kujenga chama? Jibu liko wazi ni utapeli tu, ifike wakati wanazuoni ndani ya Chadema wajitokeze kukemea uhuni unaoendelea kuangamiza uhai wa chadema.
Uhuni kwa uelewa wa watz upo hapo kijani🤓
 
Wewe hujawahi kuwa Chadema na ndio maana hujui lolote kuhusu Chaguzi za chama zinazoendelea kote nchini .

Halafu hufahamiki unataka nini , Ruzuku , maandamano , chaguzi au mikutano ya hadhara ? waliokutuma hawakujua kwamba uwezo wako ni duni kiasi hicho , ndio maana wakakulipa hizo hela , angalia usije ukazitapika
Ok, niliona Mbeya kama sijakosea tayari wamepata mwenyekiti wao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Chadema sio chama cha siasa ni kampuni ya mtu binafsi iliyovaa koti la chama cha siasa...huku Arusha hawataki hata kuisikia..alafu inaukabila wa kishamba sana..angalia uongozi chama Arusha..mara kimambo,minja,kimaro,wanatupiga danadana kwenye majina ya ukoo tu..shwaini kabisa...Alafu kuna huyu lema anaburuza miguuu kama analima hatua za shamba ..mshamba sana huyu jamaa..utasikia nani ampe chasaka uongozi..mtachagua kidxle mwisho wa siku..hawa jamaa wanaukabila wakishamba sana
Punguza stress. Kamuone mwanasaikolojia akusaidie
 
Halafu mleta mada CHADEMA haijatoa mwongozo Kama itashiriki uchunguzi mkuu au serikali za mitaa. Maana hiyo Tume ndio chanzo Cha CHADEMA kuandamana.

Punguza kiherehere.
 
Kama hujui kitu Kaa kimya. CHADEMA wanafanya chaguzi zao nchi nzima wewe Baki hapo. Kama hujui kitu ulizia
inafanya uchaguzi wapi wew acha upotoshaji...

ule ambao mlitaka kumpoteza sumai kama wangwe ndio uchaguzi ule?

labda ujao wa patriot vs kibaraka apo ndio patamu
 
Halafu mleta mada CHADEMA haijatoa mwongozo Kama itashiriki uchunguzi mkuu au serikali za mitaa. Maana hiyo Tume ndio chanzo Cha CHADEMA kuandamana.

Punguza kiherehere.
punguza mihemko kamanda,

uchaguzi upo palepale mwishoni mwa mwaka huu2024...
 
Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa makusudi hawafanyi lolote zaidi ya maandamano.

Hii si mara ya kwanza, kila unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema wahuni wachache wanaotaka kubakia kwenye nyadhifa zao hulazimika kuanzisha schemes za kuwabakisha madarakani kwa kuvuruga chaguzi au kuzisubirisha bila sababu ya msingi. Wote tunajua hii mchezo huu unafanywa na Mzee wetu Mbowe.

Bila kujali athari zake, nimeamua kutoka ili nieleze umma na kuwataka wanazuoni wa chadema kuchukua hatua haraka kukinusuru chama chenu dhidi ya uhuni unaofanywa na baadhi ya viongozi. Anayetaka kubisha aseme ni tija ipi imepatikana kwa maandamano ya Dar es salaam na Mwanza?

Mwisho, ikiwa mikutano ya hadhara imeruhusiwa na haifanyiki, Je ni sababu gani inayokwamisha? Kama ni Fedha, tayari chama kimepokea mabilioni ya ruzuku, fedha hii inatumika wapi? Na kama imetumika tayari ni nani anayedhamini maandamano ya Chadema ila hataki kudhamini mikutano ya hadhara ili kujenga chama? Jibu liko wazi ni utapeli tu, ifike wakati wanazuoni ndani ya Chadema wajitokeze kukemea uhuni unaoendelea kuangamiza uhai wa chadema.

Wajiandae na uchaguzi gani? Tanzania hakuna uchaguzi Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
Kwnn unatumia jina la dada yako badala la BENSON MRAMBA jina lako halisi???
 
hoja mipasho?

kama ingekua hoja ningalikua huko kutambo sana, kwanza wako wapi hata hao wakubuni sera hata pawe na hoja?

hoja ya kuwa kibaraka au alivyowahadaa uyo DC nanyi mkajaa mazima mazima bila ata kujiuliza au kujitathmini 😀

siasa ni sanyansi bana
Ubakie huko huko kwa wasiojitambua wenzio
 
Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa makusudi hawafanyi lolote zaidi ya maandamano.

Hii si mara ya kwanza, kila unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema wahuni wachache wanaotaka kubakia kwenye nyadhifa zao hulazimika kuanzisha schemes za kuwabakisha madarakani kwa kuvuruga chaguzi au kuzisubirisha bila sababu ya msingi. Wote tunajua hii mchezo huu unafanywa na Mzee wetu Mbowe.

Bila kujali athari zake, nimeamua kutoka ili nieleze umma na kuwataka wanazuoni wa chadema kuchukua hatua haraka kukinusuru chama chenu dhidi ya uhuni unaofanywa na baadhi ya viongozi. Anayetaka kubisha aseme ni tija ipi imepatikana kwa maandamano ya Dar es salaam na Mwanza?

Mwisho, ikiwa mikutano ya hadhara imeruhusiwa na haifanyiki, Je ni sababu gani inayokwamisha? Kama ni Fedha, tayari chama kimepokea mabilioni ya ruzuku, fedha hii inatumika wapi? Na kama imetumika tayari ni nani anayedhamini maandamano ya Chadema ila hataki kudhamini mikutano ya hadhara ili kujenga chama? Jibu liko wazi ni utapeli tu, ifike wakati wanazuoni ndani ya Chadema wajitokeze kukemea uhuni unaoendelea kuangamiza uhai wa chadema.
Siku zote ukiona mtu analia na mbowe sijui chadema hakuna democrasia ujue ni CCM kitu Cha kujiuliza hivi CCM wanaipenda sana chadema???
 
Kuwepo haimaanishi kama Kila mtu atashiriki huo ukhanithi.
hakuna mahali mtu analazimishwa kupiga kura au alie zira ama kususa atabembelezwa, hakuna kitu kama hiyo wala hakuna mbambamba 🐒
 
inafanya uchaguzi wapi wew acha upotoshaji...

ule ambao mlitaka kumpoteza sumai kama wangwe ndio uchaguzi ule?

labda ujao wa patriot vs kibaraka apo ndio patamu
Sumaye tena alishindwa akiwa mgombea pekee wa Uenyekiti wa mkoa wa Pwani.Tatizo nilisikia ni jina.
 
Chadema sio chama cha siasa ni kampuni ya mtu binafsi iliyovaa koti la chama cha siasa...huku Arusha hawataki hata kuisikia..alafu inaukabila wa kishamba sana..angalia uongozi chama Arusha..mara kimambo,minja,kimaro,wanatupiga danadana kwenye majina ya ukoo tu..shwaini kabisa...Alafu kuna huyu lema anaburuza miguuu kama analima hatua za shamba ..mshamba sana huyu jamaa..utasikia nani ampe chasaka uongozi..mtachagua kidxle mwisho wa siku..hawa jamaa wanaukabila wakishamba sana
We ni mjinga na mpumbavu kabisa,Arusha Kuna watu wenye akili kama wachaga??
 
Mkuu, baada ya kuondoka kwa Dr Slaa na Professor Mkumbo, una uhakika kwamba huko chadema bado kuna wasomi?
 
Back
Top Bottom