Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Ndio mana wasomi wa siku hizi wanamaliza chuo kikuu wakiingia kazini wanawaza gari na nyumba na mke kumbe chanzo ni walim wao...
Wasomi ni hawa mabwana zako wanaoomba 1bn kugharamia mazishi ya viongozi watakaokufa next year. Elfu mbili mbili mnazopewa Lumumba zinaharibu sana uwezo wa kufikiri