Toka chama cha wakulima na wafanyakazi Hadi Mali binafsi mmiliki wake ndie mtoa maamuziHiki chama ni cha Wakulima na Wafanyakazi sio cha Wssomi
Usomi unauacha getini,ni kutii maagizo toka juu Kama polisi.Mkuu hebu tengua upesi hii Kauli kwani usidhani kila mwana CCM ni ' Popoma / Pumbavu ' kama hao uliobahatika kuwa nao au hata kuwajua pia.
Mdee pekee anaweza akaburuza ccm wote kwa hoja za uchumi na wasipate jibu wakaishia muongozo muongozo na personal attack ili kupoteza time bungeni rejea uchangiaji wa bajeti iliyopita ya Mipango bungeni,thus bossi wao hataki kabisa bungelive kuwafichia aibu.Kama Profesa aliyeko CCM anazidiwa hoja na darasa la NNE aliyeko CCK, ni bora ungeanza kuchunguza kwa nini ukiingia CCM tu ghafla unakuwa Zuzu.