Wasomi na ma DC wavamia jimbo la Kafulila

Wasomi na ma DC wavamia jimbo la Kafulila

Nguruka one

Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Jumla ya wakuu wa wilaya 3 na baadhi ya wasomi kadhaa ni miongoni mwa wagombea 13 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu mwezi October mwaka huu, wakuu hao wa wilaya ni:-

1. Gulamhussein Kifu - Mkuu wa wilaya Mbarali
2. Manju omari Msambya - Mkuu wa wilaya Ilemela
3. Hasna Soud Mwilima - Mkuu wa wilaya Arumeru

Baadhi ya wasomi waliojitokeza katika kinyang'anyiro hicho ni pamoja na wakili wa Mahakama ya rufaa na mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya Kigoma Mhe, IDD Ndabona, pia yumo injinia SIRRO, na Msomi maarufu aishie anayefanya kazi nchini Utuki Bw Ally Kalufya.

wengine ni:-
- January Kizito - Afisa manunuzi wa Halmashauri ya Uvinza
- Waziri Morisi - Katibu tawala - Kahama
- Nashon Bidyanguze - Mfanyabiashara Kigoma
- Kalimanzila
- Dr. Shemasy
- Mwl. Dismas Malele - Afisa maendeleo wilaya Kigoma
- na Thomas Sangai - Katibu Tarafa Nguruka.
 
Jumla ya wakuu wa wilaya 3 na baadhi ya wasomi kadhaa ni miongoni mwa wagombea 13 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu mwezi October mwaka huu, wakuu hao wa wilaya ni:-
1. Gulamhussein Kifu - Mkuu wa wilaya Mbarali
2. Manju omari Msambya - Mkuu wa wilaya Ilemela
3. Hasna Soud Mwilima - Mkuu wa wilaya Arumeru
baadhi ya wasomi waliojitokeza katika kinyang'anyiro hicho ni pamoja na wakili wa Mahakama ya rufaa na mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya Kigoma Mhe, IDD Ndabona, pia yumo injinia SIRRO, na Msomi maarufu aishie anayefanya kazi nchini Utuki Bw Ally Kalufya
wengine ni:-
January kizito - Afisa manunuzi wa Halmashauri ya Uvinza
Waziri morisi - Katibu tawala - Kahama
Nashon Bidyanguze - Mfanyabiashara Kigoma
Kalimanzila
Dr Shemasy
Mwl. Dismas Malele - Afisa maendeleo wilaya Kigoma
na Thomas Sangai - Katibu Tarafa Nguruka.

Wanajua vema Tumbili lakini? Ni mnyama anayeyafahamu matunda ya miti yote porini.Niwashaur tu wasijisumbue bure hako kamnyama ni ngumu! Ni wajanja mno Ila wasikate tamaa.
 
Duuu mpaka Waziri Morisi huyu huyu nimjuea mimi? na hii ndio mana utendaji umeshuka sana kwa ajili ya kuwa na watu kama hawa
 
Last edited by a moderator:
ni haki yao kikatiba, na kama mbuge anaemaliza muda hakutimiza ahadi wananchi ndo wataamua
 
Back
Top Bottom