Wasomi na hatima ya Tanzania

Wasomi na hatima ya Tanzania

Mulama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
3,045
Reaction score
1,820
Ningependa kuuliza , hivi kweli Tanzania kuna wasomi? Na kama wapo je ni viashiria (indicators) gani vya kuonesha kuwa hii nchi ina wasomi tena wengi?

Naomba msinishangae kwakuwa aulizaye ataka kujua jamani, na kwakuwa nijuavyo mimi ni kwamba msomi ni yule anayetumia elimu yake kufanya vitu vinavyoonekana, haogopi kufukuzwa kazi kwa kutimiza wajibu wake kitaaluma, ni mkereketwa wa kweli wa nchi na rasirimali zake, hawezi kukwepa wajibu wake hasa pale wajibu huo unapoangukia kwenye eneo husika na alichosomea na ni muumini mzuri wa miiko ya taaluma yake.

Tanzania ya sasa ina professors wangapi? Ina PhD holder’s wangapi? Ms wangapi?
Muonekano wa kiuchumi, kisiasa na kijamii unahakisi idadi ya wasomi tulio nao nchini?
Tanzania ya enzi za wasomi wachache na ya sasa ni sawa?
Kama ni kinyume na muonekano bora, je tunaweza kujua ni kwanini tuna non performer scholastics nchini?

Nawasilisha wakuu.
 
...mkuu wote wamehamia kwenye siasa inalipa sana tu, kazi kubwa nikupanda kwenye vijiwe vya majukwaa ya vyama! Piga porojo sana, uongo mwingi, baada ya hapo, kutusua kodi za walala hoi?

"nenda kwenye vyama vya siasa utajua idadi ya wasomi tulionao"
 
unachosema ni kweli hivyo ndivyo msomi anapaswa kuwa yaani mkweli, muwazi na mwenye kutekeleza majukumu yake kikamilifu na kwa umahiri na uadilifu wa hali ya juu, lakini kwa nchi yetu hii ilipofikia ukifanya hivyo utapigwa majungu wewe mpaka utaacha kazi au utafukuzwa au ushirikiane nao ndiyo usalama wako, kinyume cha hapo wanaweza hata kukuua. kwa hiyo tuna kazi kubwa sana ya kurudisha maadili ya utendaji kazi serikalini.
 
Kama hivi ndivyo nini kifanyike maana imefika wakati hata vijana wanao feli mitihani wanakwambia kwani hao wasomi wameifanyia nini nchi si bora kutokusoma kabisa!
 
unachosema ni kweli hivyo ndivyo msomi anapaswa kuwa yaani mkweli, muwazi na mwenye kutekeleza majukumu yake kikamilifu na kwa umahiri na uadilifu wa hali ya juu, lakini kwa nchi yetu hii ilipofikia ukifanya hivyo utapigwa majungu wewe mpaka utaacha kazi au utafukuzwa au ushirikiane nao ndiyo usalama wako, kinyume cha hapo wanaweza hata kukuua. kwa hiyo tuna kazi kubwa sana ya kurudisha maadili ya utendaji kazi serikalini.
a
Kwa msomi wa kweli anatambua kuwa kuna professional ethics na anatakiwa kuongozwa na hilo katika kutimiza wajibu wake, kama msomi wa kweli hataogopa kufukuzwa kazi kwa sababu kazi kaipata kwa sababu kaisomea. Kinachoonekana hapa ni uchakachuzi wa taaluma na kujiona bila ajila huwezi hata kutumia taaluma yako kujiajili!
 
Sasa kama hakuna wasomi kwanini wapo hao wanaojiita hivyo? Je washitakiwe kwa kujifanya wasomi?!
 
Wasomi wapo nchi hii wengi tuuuu...PUT SIASA ASIDE.....watendaji wa serikali na private sector wengi ni wasomi...wanasiasa ni leaders wa juu tu...hali yaonekana mbaya wakati mwingine cz DIRECTION inatoka kwa wanasiasa..
Wanafunzi wadogo wanaokataa kusoma thats STUPID,VERY STUPID,why should u give up js bcz others failed,na pia jeee nchi nzima huoni wanaofanya vizuri ama waliofika mbali kutokana na elimu yao na we ukawa inspired kujitahidi??? Na hata kama hawapo SET UR TREND,
When it comes to siasa na life kwa ujumla: SURVIVAL WILL ALWAYS BE FOR THE FITTEST....
Pia maendeleo ya nchi yanakuja yakichangiwa na watu wa aina zote,si wasomi tu,Afterall tukiwa wasomi woteee,thamani ya elimu itashuka,kama ilivo hata saivi digrii tu ishashuka soko vibaya mno,master's wengi tu jobless,
Think abotu this: u thnk hata inavotokea watu wanafeli sana mitihani,DO U THINK NI WAJINGA??truth is MKIFAULU NCHI NZIMA ITAKUWAJEEE ,mtaenda wapi shule zipi??,kwa resources zipi??.....
Ndo hivo,so kama wewe ni msomi ama ur capabale js get ur place and help those who can't....WE ROLL LIKE THAT...
 
Kusoma watu wasome ili kupata uelewa mpana zaidi na kuweza kuyamaster mazingira yanayokuzunguka. Namaana kwamba ukiwa msomi unauwezo mkubwa wa kufikiri kwa jambo lilelile ambalo wengine linawatoa jasho. Kwa wanafunzi someni si tu kwa kulenga kuja kuajiriwa ila na kuja kujiajiri pia hapo utaona elimu ni ya muhimu.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
N vigezo vp inayoangaliwa kuw msomi?kuwa na cheti au?JE kwa yule w std7 akamwajiri mwenye dgre nani msomi hapo?tafakar!
 
Wasomi tunao wengi sana katika taaluma mbalimbali na sekta mbalimbali, ila bado tuko nyuma sana kuwajali hao wataalamu hapo nina maana ikija kwenye ajira kuna mifano mingi lakini nitaandika miwili tu,
Doctor anakwenda hospitali ambapo anakuta hali iliyopo hapo ni mbaya kiasi hata mgonjwa anashindwa kumuangalia inabidi anasema tu mpe drip huyo, anavunjika moyo kwa uchafu wa hali ya juu, anaamua kurudi ofisini, ukiangalia waalimu tatizo lile lile vutendea kazi hamna mishahara hairidhishi.
Na hao wataalamu waitumie elimu hiyo kwa kuelimisha zaidi na kukemea hali iliyopo kila sekta natumaini tutafika kwa kujituma
 
Swali langu hapo mkuu ni kwamba, Dr anapokuwa masomoni anafundishwa pia pahala atakapofanyia kazi paweje, sasa kama anakuta hospitali aliyopangiwa ni chafu na haina vitendea kazi, kwanini akubali kuendelea na ajila badala ya kuprotest kwa ku resign ili kuonesha hispitali hiyo haifai kuitwa hospitali?
 
Wasomi wapo nchi hii wengi tuuuu...PUT SIASA ASIDE.....watendaji wa serikali na private sector wengi ni wasomi...wanasiasa ni leaders wa juu tu...hali yaonekana mbaya wakati mwingine cz DIRECTION inatoka kwa wanasiasa..
Wanafunzi wadogo wanaokataa kusoma thats STUPID,VERY STUPID,why should u give up js bcz others failed,na pia jeee nchi nzima huoni wanaofanya vizuri ama waliofika mbali kutokana na elimu yao na we ukawa inspired kujitahidi??? Na hata kama hawapo SET UR TREND,
When it comes to siasa na life kwa ujumla: SURVIVAL WILL ALWAYS BE FOR THE FITTEST....
Pia maendeleo ya nchi yanakuja yakichangiwa na watu wa aina zote,si wasomi tu,Afterall tukiwa wasomi woteee,thamani ya elimu itashuka,kama ilivo hata saivi digrii tu ishashuka soko vibaya mno,master's wengi tu jobless,
Think abotu this: u thnk hata inavotokea watu wanafeli sana mitihani,DO U THINK NI WAJINGA??truth is MKIFAULU NCHI NZIMA ITAKUWAJEEE ,mtaenda wapi shule zipi??,kwa resources zipi??.....
Ndo hivo,so kama wewe ni msomi ama ur capabale js get ur place and help those who can't....WE ROLL LIKE THAT...
Ningependa kuuliza , hivi kweli Tanzania kuna wasomi? Na kama wapo je ni viashiria (indicators) gani vya kuonesha kuwa hii nchi ina wasomi tena wengi?

Naomba msinishangae kwakuwa aulizaye ataka kujua jamani, na kwakuwa nijuavyo mimi ni kwamba msomi ni yule anayetumia elimu yake kufanya vitu vinavyoonekana, haogopi kufukuzwa kazi kwa kutimiza wajibu wake kitaaluma, ni mkereketwa wa kweli wa nchi na rasirimali zake, hawezi kukwepa wajibu wake hasa pale wajibu huo unapoangukia kwenye eneo husika na alichosomea na ni muumini mzuri wa miiko ya taaluma yake.

Tanzania ya sasa ina professors wangapi? Ina PhD holder's wangapi? Ms wangapi?
Muonekano wa kiuchumi, kisiasa na kijamii unahakisi idadi ya wasomi tulio nao nchini?
Tanzania ya enzi za wasomi wachache na ya sasa ni sawa?
Kama ni kinyume na muonekano bora, je tunaweza kujua ni kwanini tuna non performer scholastics nchini?

Nawasilisha wakuu.

Mada ni hii mkuu, ebu compare na mchango wako tuone rationally yake
 
Kusoma watu wasome ili kupata uelewa mpana zaidi na kuweza kuyamaster mazingira yanayokuzunguka. Namaana kwamba ukiwa msomi unauwezo mkubwa wa kufikiri kwa jambo lilelile ambalo wengine linawatoa jasho. Kwa wanafunzi someni si tu kwa kulenga kuja kuajiriwa ila na kuja kujiajiri pia hapo utaona elimu ni ya muhimu.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Mkuu hoja hapa ni non performance from the so called educated/ learned people (citizens of Tanzania)
 
Back
Top Bottom