Wasomi munahitajika huku

Wasomi munahitajika huku

Unataka kusema kua bangi siku izi imepanda thamani kias hicho aisee?
Tatizo kila jambo baya wanasingizia bangi! Wengine matatizo yao wenyewe na akili zao, isihusishwe bangi.
 
Sawa prof. Balanciaga nshafika hapo nadhani inaeleweka kwenye hasabu kuna aina tano za O kwenye neno school hiyo o yakwanz ni aina ya tano na hiyo ya pili ni yapili hata hivyo zinatofautiana kwenye uandishi kama hivi OO hapo ni aina ya tatu na nne ya O kwaiyo unapo changanya is wrong sawa nakaribisha maswali.
Uko sawa. Hivi umeshatokaga Havard tangu ile siku unafundisha Combinatorics!???
 
Ni kwamba hizo O ziko mbili, ya kwanza yaani O1 na ya pili, yaani O2. Kwa hiyo unatakiwa usizibadilishe nafasi na kuziweka kwenye nafasi ya tofauti, yaani usiziswap. O1 inatakiwa iendelee kubaki pale pale na O2 nayo pia vile vile!
Hizi ndizo explanations zinazohitajika sasa
 
Back
Top Bottom