Ukisoma bachelor of science in chemisty au in biology ni lazima ujekua mwalimu wa hayo masomo husika au unaweza piga ishu nyingine kutokana na hizo course?
Ukisoma bachelor of science in chemisty au in biology ni lazima ujekua mwalimu wa hayo masomo husika au unaweza piga ishu nyingine kutokana na hizo course?
Kuna baadhi ya nchi degree ya Chemistry ni hatua moja wapo inayokufanya wewe uwe na kigezo cha kwenda kusomea degree ya Phamacy, vile vile huwezi kwenda medical school mpaka angalau uwe na degree ya Bio-Chemistry.
we soma tu..................watu wanamaliza bachelor of arts in kisw,eng,eco mwisho wa siku anakuja kua bank teller,soma tu ka chaki utashika tuuuuuuuuuuu