Wasomali walifikaje Tabora?


Nilikuwa namjibu mtoa hoja mwingine nikabugi na Ku quote ya kwako, soma mpaka mwisho
 
Kule kuna wachaga kina 2013
Wana roho mbaya km jivi!
Yaani umeingia tu na kuanza kumwaga tindikali huku povu la mate likikutoka ngoja niweke mwamvuli kuzuia lundo la mate utadhani mvua ya elninyo:rain:. unadhani huku visiwani aisee. kwanza sisi sio watalii, sisi ni ma-entaprenyua na ma-venturesome. Bara kwetu. Pia sisi tuko huru, poleni nyie kwa kujivika viremba vya waarabu.Njoo mgombani ule ndizi kupinga ubaguzi wa Mtu mweusi. ha ha ha ha

hapa...magaidi na ma-pirates kutoka mogadishu wameingia nchini kinyemela kwa kubebwa na makontena ya malori ya waarabu.huu nahisi utakuwa mji wa akina mkonge. Watatuletea umogadishu hapa kwetu, wanaroho mbaya sana hapa kwetu.. Serikali iwe makini.naunga mkono hoja
 


Nyie ni watu mliochanganya damu!
Wakishumundu wanywa kinyesi hawawezi kuwa na asili na Ardhii hii nzuri.

Rudini kwa baba zenu rwanda, wahutu wakubwa nyie!


Dadadeki.wahed, zubbu la khmaru l uuda!
 

Hivi yule mbunge ambae sio rizki ni wa mkoa gani?
 
Hizo ni baadhi ya historia ninayoijuwa about Somalis nilisoma mda mrefu kuwa waliingia miaka hiyo na kuna wengi ambao wamebadilika kama washunguli ambao wapo, labda ungetusaidia kwa hilo sorry ntarudi kwenye darsa

Hahahaha, nikusaidie tena mimi mkuu wakati wewe ndiyo umelikurupua la miaka elfu3 (yaani 1000BC!!!), tuambie ulikoisoma na sisi tukaisome.
 
Hahahaha, nikusaidie tena mimi mkuu wakati wewe ndiyo umelikurupua la miaka elfu3 (yaani 1000BC!!!), tuambie ulikoisoma na sisi tukaisome.

Soma: Somali in Tanzania Joshua project. Naona hiyo link itakusaidia
 
Hahahaha, nikusaidie tena mimi mkuu wakati wewe ndiyo umelikurupua la miaka elfu3 (yaani 1000BC!!!), tuambie ulikoisoma na sisi tukaisome.

Kijana elimu yako ndogo inakukosesha mengi!
Mkuu picchu anakupa darasa! We unabwata tu!

Hebu fungua macho hapa kidogo.
 

Pokea like na mpukuswaa kwa wingi
 

Nakuunga Mkono, hizo familia ulizozitaja karibia zote si ngeni kwangu. Inawezekana ukawa sawa.
 
mkoa wa tabora una wananchi wengi wenye asili ya somalia. wamefikaje tabora isiyo hata upande wa kuelekea somalia?
Hata Iringa walikuwepo wengi hasa nyakati zile za malori ya FIAT yakiendeshwa kwenda Zambia na nyakati za pembe za ndovu kabla hawajadhibitiwa na sasa ni kama hawapo kabisa Iringa.
 
Kijana elimu yako ndogo inakukosesha mengi!
Mkuu picchu anakupa darasa! We unabwata tu!

Hebu fungua macho hapa kidogo.

Mkuu wangu kahtan, shikamoo.
Ni hakika elimu yangu ya ulimwengu huu ni ndogo kama punje moja ya mchanga katika jangwa la sahara ndiyo maana nikaomba Mkuu picchu alete vyanzo nipanue mawazo. Sasa kaka yangu wewe elimu yako ilivyo pana unaamini bila shaka kabisa madai ya picchu kwamba Wasomali walishafika Tanzania miaka elfu tatu iliyopita (miaka 3000 iliyopita ni around 1000BCE!!)!!!?:nimekataa
Sijui hata kama umesoma kilichomo kwenye link uliyonipatia, ngoja ninukuu kidogo Mkuu wangu..."The Somali first appeared in Africa around 1200 A.D., and began expanding westward and southward about 150 years later."
Tafadhali niambie uliamua kudandia gari bila kuuliza limetoka wapi na linakwenda wapi.:loco:
 

Mkuu hio.link kama umesoma vizuri nimekwambia FUNGUA MACHO KIDOGO HAPA!

Na kuhusiana na Historia, hio link SIO mwisho wa historia!
Sasa ulitaka nikutafunie kila kitu, we umekaa unameza tu!?

Niliandika huko nyuma kwenye uzi huu kuwa Historia ya East Africa inarudi nyuma hata kabla ya Jesus!

Sasa we unafanya Conclusion kwenye link moja tu!?
Huko ndiko kujifunza??

Soma mkuu, soma zaidi ya hapa JF! utaona faida yake mbele ya safari.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, nimesoma kiasi historia ya hawa jamaa kwani kuna vitu fulani vilinivutia kwao nikaamua kuwachimba kidogo, hicho kilichoandikwa kwenye hiyo extract nilishakisoma kitambo, ndiyo maana aliposema Wasomali walifika Tanzania miaka alfu tatu iliyopita nikamwambia afunguke ameitoa wapi hiyo, baadaye ukaja wewe kumtetea kwamba yuko sahihi bila kujua kuwa amekuvuta kupotoka. Mimi napenda kujifunza na kuongeza maarifa mkuu, nafahamu kila mtu ana kitu kichwani nachoweza kuvuna kutoka kwake, nikisoma au kusikia jambo geni hhuwa linaniwasha kichwani, najikuta nanunua vitabu vingi sana na documentary za discipline mbalimbali, kwenye Kindle kuna vitabu zaidi ya elfu tatu lakini bado kwa wiki nanunua si chini ya Title mbili! Tusome Mkuu, elimu haina uzee wala haina mwisho, pale unapodhani umeelimika sana kumbe ndiyo kwanza haujaanza hata kuumenya muwa.
Usiku mwema kaka kahtaan
 
Last edited by a moderator:

Pamoja mkuu,
Mi ndo kumekucha huku kwangu!
Hata lunch bado.

Soo long! Cyboy
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…