WASOMALI East Afrika

Chuki na ubaguzi unauona kwa wasomali kiuhalisia vipo kwako. Mapungufu na madhaifu yao unayoyaona yapo kwako na kuakisi taswira yako halisi.
 
Tena huyu haamini kabisa kama kuna mbantu yeyote mwenye akili.
 
Raphta ipo kwenye Vitabu vya Eritrea, has nothing to do with Wazungu,

Pia siku hizi una Dna na genetics studies kibao kuprove hivi vitu. Kila mtu humu anajua asili yao ni wapi.
Mji huu wa ustaarabu na utajiri wa kale kabisa unaaminika kuwa katika delta ya mto rufiji, mjii ulikuja kuzama kutokana na kupanda kwa kina cha maji ya bahari ya hindi iliyokuja kumeza delta hii muhimu yenye mji ya kale zaidi katika mwambao wa bahari ya hindi.
 
Kwanza hatuendani tamaduni tufanye yale tunayoyaweza mtu anataka binti wa kisomali hela anayo ya kumtunza?! mtu anataka achukue binti wa watu halafu aanze kumwambia kuna issue naiskilizia.
 
Mleta uzi ni maskini mwenye roho mbaya ya ubaguzi. Tanzania na Zambia zina wazawa wenye wivu mkali sana kwa wageni. Elewa kwamba mgeni huwa muda mwingi yuko makini na pesa zake ndo maana hufanikiwa. Hata wewe mleta uzi ukienda nchi nyingine utakuwa makini. Punguza chuki kwa binadamu wenzako. Usiwe kama hawa wazambia maskini waliomuua mtanzania kwa kumtuhumu uchawi.
 
Kiukwel wanajitahidi sana kwenye biashara na kufungua makampuni wapo vizuri
Kinachowasaidia ni kubebana wanasaidiana sana na wanafanya kazi kwa pamoja sisi tumejaa uchoyo na ubinafsi, mtu akipata tu connection ya kujua soko la mchicha wa jumla anajifanya Warren buffet tayari hata mwanae hamwambii akiumwa tu biashara imekufa.

Hao wasomali wanaenda kuiteka kenya muda si mrefu nairobi wameshashika uchumi, na ukumbuke northern kenya wamejaa wao kwa population kubwa kule Wajir, Garbatula, garrisa, muyale, tana river n.k wamejaa wao na wa borana na ni native Kenyans na wanavuta ndugu zao kutoka somalia kwa maelfu kuja kenya.
 
Ni kweli unavyosema 💯💯💯
 
Na wa bantu na mapua yao kama baba leo warudi afrika magharibi
Msomali tulia basi, hasira na matusi ya nini, ? Hapa tunachangia hoja tu kuhusu hizo tabia na staili zenu za kuishi nchi za nje ya nchi yenu.
 
Hizo dharau wanafanyia Kenya kwasababu wamesha watawala.

Umeshaona Msomali anafanya dharau Tanzania?
 
Sasa lugha ya matusi ni ya nini, ? Nimetoa maoni yangu, wewe kama haukubaliani, unatakiwa kuchangia pointi zako ili uma ufaidike na mchango wako.
Na lugha ya chuki ni sawa
Narudia tafuta hela masikini wewe njaa ndio inakusumbua
 
JIBU NI KUWA NA DARAJA 3 AU 5 ZA URAIA ZENYE SIFA TOFAUTI ...UNAKUTA MTU HATA LUGHA YA TAIFA AJUI VIZURI, UNAMPA URAIA WENYE HADHI SAWA NA WAZAWA WA ASILI "HUKO NI KUTENGENEZA HIGH LEVER STATE CAPTURE " hata hapa tanzania kuna Raia awakutakiwa hata kuruhusiwa kuwa wapiga kura au kuwa wanasiasa au kuwa wadhamini wa vyama vya siasa japo ni raia ...mfano rostam azizi..zungu ...na wengine wengi...kuna aina mbili za state capture
1)ni ya wazawa halisi
2)ni ya raia feki ambao siyo wazawa halisi .
TANZANIA KWA SASA TUPO KWENYE AINA YA PILI YA STATE CAPTURE... ni state capture mbaya sana ambayo kuivyunja ni lazima damu nyingi imwagike maana wanao i control wapo mguu mmoja ndan8 ya nchi na mguu wa pili nje ya nchi hivyo awawajaro chochote pia ufisadi wao wanapeleka nje ya nchi zaidi ya ile ya kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…