WASOMALI East Afrika

Asante kwa kunitetea mkuu.
 
lawama ,chuki rohombaya ,visasi inakua jadi ya mwafria.

mnalaumu watu kama wajinga mnakua na shida gani nyie wapumbavu???


Hahaa, Ni nani aliyeandika hiyo historia, ofcourse ni Mzungu, Historia ya Afrika kama haikuandikwa au kusimuliwa na Mwafrika ni takataka tu. Niambie Nchi gani ya Ulaya ambayo historia yao iliandikwa na Mwafrika na wanaifuata ? Only in Africa.
 
Wanatafuta pesa. Tuache kulalamika, hata hivyo Kila jamii ina kasoro zake hakuna jamii kamilifu. Huku kwetu tunabaguana Kwa namna nyingi, nyani halioni kundule.
 
Achana nao.Watakuletea kisirani chao halafu upate hasira "dubledublle"!
 
Amka wewe, tazama hata nchi zilizoendelea zinazungumza suala la wageni ambao hawana michango kwa nchi zao, watu ambao hawachukui hatua zozote to intergrate na culture ya host nation. Hapa tunachangia hoja, hatulalamiki tu.
Wewe na jamii yako unaelalamika ndio muamke.

Nchi zinazoendelea kama marekani kuna msomali kazaliwa Mogadishu kawa mbunge Minesota.

Intergration&Culture:Nchi zizoendelea kama Uingereza Kuna muhindi aliwai kuwa waziri mkuu lakini hakuacha tamaduni zake za kihindi,mpaka watoto wake wana majina ya kihindi,mpaka imani bado ni muhindu.

Kenya wasomali ni wafanya biashara wenye mitaji mikubwa wanamiliki pesa za maana wanapambana.

Pambana kusaka fursa Dunia hii ni pana ukiona bongo sio nenda nchi zingine maisha popote.

Mtalalamikia wachina,wahindi,wasomali mki maliza mtaanza kulalamikia wachaga kwanini jamii yao inapiga pesa kila mkoa ilhali wazawa wa mkoa wana hali ngumu za maisha.
 
Hahaa, Ni nani aliyeandika hiyo historia, ofcourse ni Mzungu, Historia ya Afrika kama haikuandikwa au kusimuliwa na Mwafrika ni takataka tu. Niambie Nchi gani ya Ulaya ambayo historia yao iliandikwa na Mwafrika na wanaifuata ? Only in Africa.
Raphta ipo kwenye Vitabu vya Eritrea, has nothing to do with Wazungu,

Pia siku hizi una Dna na genetics studies kibao kuprove hivi vitu. Kila mtu humu anajua asili yao ni wapi.
 
Raphta ipo kwenye Vitabu vya Eritrea, has nothing to do with Wazungu,

Pia siku hizi una Dna na genetics studies kibao kuprove hivi vitu. Kila mtu humu anajua asili yao ni wapi.
πŸ˜€
 
Kiongozi wetu hususani Nyerere alisha uua utamaduni wa mtanganyika na asili zetu, wanakuja kutushikisha kiswahili lugha ambao 60% ni kiaarabu, sasa tumeanza kuonea watu wenye tamaduni zao wivu loh, wewe unataka uoe Msomali ili iweje? Mbona pale waganda na Wa kenya wanaona kinyaa kuoa Wa Hindi wasomali au waarabu ni wachafu hawana nidhamu nk. jamii yako inakutenga, ni hapa Tanzania unakuta Myaha kuoa mu Hindi au Mchina anaona ni sifa, wakati kwa makabila mengine ni aibu
 
Kwa ubaguz ni wabaguz hata wao kwa wao wasomal wanabaguana ndani ya makabila yao na hawapendi kuonekana ni jamii ya weusi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati ndio ilivyo wao ni weusi hata iweje πŸ˜‚πŸ˜‚
Habari za mwanza
 
Kiukwel wanajitahidi sana kwenye biashara na kufungua makampuni wapo vizuri
 
Aisee wewe jamaa unawajua Wanyarwanda vizuri kuna kijiji huku kwetu walikaribishwa vizuri na ardhi wakapewa ,miaka mingi mbeleni wakaanza kudai tena ile ardhi maelfu kwa maelfu ni ya kwao.Shukrani kwa jeshi la magereza kuingilia kati.
 
Wasomali siyo Waarabu wala Waafrika kwa maana ya race bali Wasomali. Ni Waafrika kwa kuwa wanaishi ndani ya afrika kama ambavyo hata amerika kuna Watu weusi lakini ni Waamerika na siyo Wazungu.
 
Twende taratibu:-
1.Rage aliyeiita Ile timu ni..........
2.Karia aliiambia Ile timu ilashiriki mashindano ya,..............
3.ENg Hersi Said alisema mashabiki wa timu yake Wala miho,..............
4.Yule Waziri wa Chakula ni balaa Kila mtu anamuona Mbuzi.................
Wasomali hawana pa kwenda ni wabaguzi kwa asili yao,hata huko kwao Somalia wanabaguana.Wanapojiita waarabu ni Ile Hali ya kubeba hulka za kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…