4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,451
- 13,246
Hiko kikundi kipo long time. Ni vile watu wako in denial, rais pekee ambae alikataa kukubaliana nao ni Jpm tuWakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu ,kama ilivyoandikwa
Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.
Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.
Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.
Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.
Wenda mama yetu ametekwa sie hatujui japo lawama zote kwake.
Kuna viongozi wamelalamika namna ya kumuona boss wao ambae ni rais ila hatujaliweka manani kabisa .
Rais wetu wenda ametekwa na kupangiwa cha kufanya ? Ni maoni yangu , wewe mdau unasemaje kwa hili?
Karibu kwa mjadala wakuu
Kumbe mkuu, funguka kidogo mkuu wangu ikikupendeza lakini sio amriHiko kikundi kipo long time. Ni vile watu wako in denial, rais pekee ambae alikataa kukubaliana nao ni Jpm tu
Mkuu umetuacha mbali ,funguka kidogo mkuuState mafia and anarchy.
Hapana mkuu imejitype yenyewe....simu hizi zinatuchonganishaMkuu umetuacha mbali ,funguka kidogo mkuu
Na mama anaogopa yasije yakamkuta, anatuachia legacy mbovu kabisa, kizaz na kizazi kitamlaum kwa utawala mbovu. Siku katiba ikibadilika lazima tuwashtaki na wachukuliwe hatua, kwa katiba hii ni nan aliyemwekea Kinga raisi? Nyerere ndio walipitisha hii? Hebu tufahamishane?Hiko kikundi kipo long time. Ni vile watu wako in denial, rais pekee ambae alikataa kukubaliana nao ni Jpm tu
Mie naona yeye ndiye kawateka wenzake na kuwatumia atakavyo hadi kuwatukana kwa kuwaita machawa nao wakakubaliWakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu ,kama ilivyoandikwa
Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.
Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.
Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.
Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.
Wenda mama yetu ametekwa sie hatujui japo lawama zote kwake.
Kuna viongozi wamelalamika namna ya kumuona boss wao ambae ni rais ila hatujaliweka manani kabisa .
Rais wetu wenda ametekwa na kupangiwa cha kufanya ? Ni maoni yangu , wewe mdau unasemaje kwa hili?
Karibu kwa mjadala wakuu
Kuna watabiri huko hawalali tuwaache watimize wajibu waoNipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.
Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.
Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.
Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.
itakuwa ujumbe wa hoja HIINipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.