wasiwasi mwabulambo acha hizo

wasiwasi mwabulambo acha hizo

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
kwa kweli we jamaa unaudhi kweli yaani'mimi napenda sana kumsikiliza kibonde akiongea'sasa we jamaa unamwingilia kila akitaka kuongea'acha hizo we mshambaa
 
nikurushie no yake?lakini amepata message manake hakosekani hapa
 
Huyu jamaa alimshikia Geard Hando muda flani, alikuwa hafit kabisa, cjui anaongea mambo gani yaani alikuwa anaboa.
 
mtu mwenyewe jina linajieleza 'wasiwasi' acha kusikiliza hiyo radio
 
hakuna radio za maana bongo zaidi ya clouds?bora choice fm na wengine
afu unakuja na mada nani kakutuma uwasikize
kama wamekuboa watumie msg facebook wana page yao na sio kumwaga upupu hapa JF.
 
ndo shida hii wanaokotana walegeza suruwali pale jackies basi tayari kawa mtangazaji...pumbafu sana huyu dogo yaani sijui anaongeaga nini
 
jamani shule shule shule tatizo, unajua bora msomi ukiboa kuliko small education ikijifanya pumba, wasiwasi angeweza kuwa trained akawa mtangazaji mzuri maana hata kiingereza kinapanda, lakini tatizo kwenye ile radio hakuna training program wala trainer, kila mtu anajua sana hapa ndio tatizo sasa learning process inakuwa prematurely stopped, na hakuna mkubwa wa kuwaambia watoto wapite wapi, kila mtu anajina na ili mradi alikuwepo kwenye birthday ya Rais na waka chat nae kidogo basi hapo kila pembe ni ya mbuzi hakuna wa kumsikiliza yeyote
 
Dogo anabamba kila kitaa wivu wa kike huo nyie mAza fanter
 
Back
Top Bottom