Uchafu kama mtindi kutoka ukeni inaitwa candidiasis, inasababishwa na fungus (candida albicans), na huwa inayobitiwa mara nyingi kwa topical antifungals ambazo unaweka ukeni...huhitaji antibiotics kwa hilo tatizo kwani si bacterial infection, unless kama daktari amenote co-infection ya fungus na bakteria.
Candidiasis hutokea sana kwa wanawake wajawazito kutokana na mabadiliko ya vaginal PH, Dr hakupaswa kukupa Amoxycillin.
Hata hivyo dawa za familia ya Penicillin (Amoxycillin ikiwepo) huwa hazina madhara kwa mimba changa hata watoto wachanga.
Ikitokea Candidiasis tena mchallenge Dr kama akikupa antibiotics, unless awe na sababu ya msingi.