"Wasiwasi juu ujenzi wa vituo vya mafuta kwa sasa

Oct 8, 2018
8
19
"Juzi kwenye daladala za hapa mjini, katika story za abiria wakawa wanahoji juu ya ongezeko kubwa la ujenzi wa sheri.

Hoja yao kubwa ikiwa ni kweli biashara ya sheli inalipa kiasi hicho cha kurudisha mamilion ya pesa yaliyotumika kuhisimamisha kwa mda mfupi ..!!?

"Mwingine akahoji kua uenda wanajificha kwenye mgongo wa sheli kuepuka tuhuma za utakatishaji wa fedha lakn uenda kuna biashara Za ovyo nyingine wanafanya..""

"Hawakuishia hapo mwingne mfano unakuta mtu na duka Lakela nguo hata Mliman City,ukiuliza bei ya kiatu unaambiwa laki tano, suti laki sita, unajiuliza anauza ngapi kwa siku, imlipe yeye, mfanyakazi wake na kodi..!!? akasema wengi wanajificha humo lakn shughuri zinazowapa kipato haziwekwi wazi na ni za hatari...!!"

"Nilitaman niendelee kusikiliza lakn nilfika kituo nilchokua naenda ikabidi nishuke....!!
 
kuhisimamisha 😆😆
uenda 😆😆
 
Mlikutana masikini mkawa mnajadili vitu vilivyo juu ya uwezo wenu.
 
Unajua wanaoiba hela za miradi na maendeleo au popote hawawezi kuwekeza kwa shishi anaeuza wali
Kama mtu anaiba 2b unafikiri ataandika biashara au apartments kwa jina lake?
Na kumwandika ndugu au jamaa wa karibu anaona atatapeliwa (ingawa yeye kaiba) !!
Sasa nafikiri anao ampe ngozi nyingine maana hata kumtisha anaweza au kumfunga pia nao kwa woga wanaingiza kwenye mizunguko yao au kuongeza wigo la biashara

Kama unasubiri ndugu akupe 1b ufanye biashara sahau
Utapewa 2m uuze karanga tu
 
Back
Top Bottom