wananchi wamesema wanataka serikali 3 sasa kama nyie waroho wa madaraka mnaona s3 hazitekelezeki kwanini msituachie nchi yetu waishike wenye uwezo wa kuendesha 3
Lakini ukjweli unabaki palepale kwa kila Mtanzania aliyeangalia runinga ya ITV jana kwamba CCM ndiyo chanzo cha kutaka kukwamisha au kuzuia mchakato huu wa Katiba Mpya. Prof. Lipumba na Mwanasheria mahiri Tundu Lissu ndio waliokuwa na HOJA ZA MSINGI kuonyesha kuwa Wassira(Hassira) na CCM yake ndiyo wanaotaka kuchezea Rasimu ya Katiba ili wapate Katiba wanayotaka wao na siyo ile yenye MAONI YA WATANZANIA!
Msumari wa mwisho ulipigiliwa na waliokuwa wajumbe ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba: Humphrey Polepole toka Tanganyika na Awadhi Said toka Zanzibar walipoweka wazi kwamba kinachotakiwa kujadiliwa Bungeni kulingana na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ni Rasimu ya Tume ya Katiba. Ndugu Polepole huku akongea kwa upole alihoji ni KWANINI SERIKALI YA CCM IMEFUNGA TOVUTI YA TUME ILHALI BADO WATANZANIA WALIKUWA WANA HAKI YA KUENDELEA KUSOMA NA KUPITIA RANDAMA NA MAPENDEKEZO YA TUME????
Wassira wako unayedai alifunika hakujibu hata hoja moja katika hizi!!!Kama huna hoja ni vizuri ukanyamaza kimya.
Eti hawa ndo wanataka wapewe nchi, mbona tutachekwa na dunia nzima? Hivi unaomba wananchi wakupe kuongoza nchi unaandika maneno kama hayo? Kama na wenzio wote mko hivyo, hamfai kabisa, anzeni upya!
Eti hawa ndo wanataka wapewe nchi, mbona tutachekwa na dunia nzima? Hivi unaomba wananchi wakupe kuongoza nchi unaandika maneno kama hayo? Kama na wenzio wote mko hivyo, hamfai kabisa, anzeni upya!