Wasira aja na mpya tena

Wasira aja na mpya tena

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
Hakuna haja ya kuweka neno,picha yatosha
 
Attachments

  • 1433096152066.jpg
    1433096152066.jpg
    49.1 KB · Views: 1,760
teh teh teh ! anakwepa kupita kwenye zulia jekundu ila afadhali yake anaamini hatapita ndo maana hataki ajizoeze ya mazulia mekundu du mpaka october tutakutana na miujuza mingi sana.
 
Hahahahahahahahahhahhaha. Ukawa noma lazima wawe na tahadhali kama boss wao alivyowaambia. Wanajua ccm kurudi magogoni ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
 
Yaani mi ukiweka hao watatu ambao ni tayari, naona afadhali hata huyu babu pamoja na vituko vyake.
 
mkuu hata mimi namkubali wassira ukilinganisha na hao wengine.
 
Umesema kweli. Ni msafi na mwenye uwezo wa kukemea rushwa. Anachozungumza anamaanisha kweli kwa maana ya kwamba sio mtu wa maigizo. Zaidi ya yote, hana kindi linalosubiri aingie madarakani lianze kuchuma
 
Kwenye picha za mbele naona kama yupo NN na K/Mkuu vile au?
 
Umesema kweli. Ni msafi na mwenye uwezo wa kukemea rushwa. Anachozungumza anamaanisha kweli kwa maana ya kwamba sio mtu wa maigizo. Zaidi ya yote, hana kindi linalosubiri aingie madarakani lianze kuchuma

si hivyo tu mkuu nimemsikiliza mala nyingi kwenye mahojiano yake na waandishi wa habari ni mtu anayejibu maswali kwa akili sana. anauwezo mkubwa wa kuchambua mambo.
 
Back
Top Bottom