Wasira Aelekea Kushinda Udiwani Bunda

Wasira Aelekea Kushinda Udiwani Bunda

matasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
378
Reaction score
400
Hapa Bunda shamrashamra tu asilimia zaidi ya 90 ya watu niliozungumza nao wanasema sasa ni wakati wa mabadiliko, sasa ni Chadema. Akimnadi mgombea wa udiwani Bw Julius Wasira juzi, kada wa Chadema Lilian Wasira alisema hakuna wa kuizuia Chadema katika uchaguzi huu au chaguzi zijazo. Alisema hakuna kitu CCM imeshindwa kufanya kwa miaka 53 itaweza kufanya kwa miaka michache ijayo. Ni Chadema pekee inaweza kuleta ukombozi, alisema. Nae mgombea alisema wampe fursa ya kuongoza na atawawakilisha vema katika kulinda mapato ya halmashauri.
 
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.

Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.

Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.

Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
 
Mapovu meeeengi, pointi hakuna.
 
Heading yako iliposomeka wasira nikajuwa ni yule wa TANAPA nimeifunguwa kivivu sana cdm jiuuuuuuuu

Utani wa kisiasa bana, so unamtania baba mdogo wa Lilian Wassira hivyo, laana zingine hazisafishiki.
 
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.

Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.

Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.

Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.
hakuna celebrity ndani ya CDM, wote tupo sawa na tunapigania kumwondoa mkoloni mweusi CCM aliyetawala nchi yetu zaidi ya miaka 51 bila kutuletea maendeleo yanayoonekana.

Kama unabisha kauli yangu kwamba hakuna celebrity CDM, we nenda kamuulize yule aliyekuwa anamongonyoa vipande vya merikebu wakati safari ipo katikati ya bahari atakueleza yaliyomkumba!!
 
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.

Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.

Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.

Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.

Kwa hiyo ulitaka wayakane majina yao? Mbona unakuwa mweupe kichwani!!
 
Hapa Bunda shamrashamra tu asilimia zaidi ya 90 ya watu niliozungumza nao wanasema sasa ni wakati wa mabadiliko, sasa ni Chadema. Akimnadi mgombea wa udiwani Bw Julius Wasira juzi, kada wa Chadema Lilian Wasira alisema hakuna wa kuizuia Chadema katika uchaguzi huu au chaguzi zijazo. Alisema hakuna kitu CCM imeshindwa kufanya kwa miaka 53 itaweza kufanya kwa miaka michache ijayo. Ni Chadema pekee inaweza kuleta ukombozi, alisema. Nae mgombea alisema wampe fursa ya kuongoza na atawawakilisha vema katika kulinda mapato ya halmashauri.
nina hakika hiyo 90% uliyozungumza nayo ni walewale GONGO INFECTED PEASANTS.. nilitegemea uniambie asilimia 100!!!! kumbe hata wafuasi wako wengine hawatakupigia kura????
shame
 
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.

Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.

Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.

Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.

Una maana hata steven wassira nae anapata ujiko kwa sababu anaitwa wassira? Kwa sababu kwa ninavyofahamu ye mwenyewe sio marehemu na anamnadi mgombea wake wa ccm, au una maana amelijenga jina lake huku ye mwenyewe akiwa hana nguvu? Sijakusoma
 
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.

Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.

Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.

Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.

jina la wasira ndilo jina lililopanda mageuzi kanda ya ziwa,mzee steven masatu wasira alifanya kazi hiyo vema,usaliti wake kwa wana mageuzi ndio unamfanya akimbiwe na alio waaminisha.NI LAZIMA APIGWE KWA KURA
 
nina hakika hiyo 90% uliyozungumza nayo ni walewale GONGO INFECTED PEASANTS.. nilitegemea uniambie asilimia 100!!!! kumbe hata wafuasi wako wengine hawatakupigia kura????
shame
Hata kama mnywa gongo kura yake ni moja
 
Jina la Wasira ni mtaji kwa CHADEMA.

Jina la Wasira limemfanya mpaka Lilian akapata kazi ya kumnadi Wasira wingine wa CHADEMA.

Lilian Wasira kwa sasa ni political celebrity ndani ya CHADEMA, cha kushangaza, ninatumaini hata ukimuuliza katiba ya kilaghai ya CHADEMA inasema nini, hawezi kukupa jibu.

Hii ndiyo CHADEMA ambayo imesimama kwenye misingi ya siasa za kitapeli.

Hawawezi kuzidi utapeli wa watu kama akina Mwigulu anapewa uwaziri hata hajapasha kiti moto huyu anaehuka kwenda kwenye kampeni za udiwani nadhani zomea zomea imemfanya mwenyekiti wake amkalishe chini
 
Hapa Bunda shamrashamra tu asilimia zaidi ya 90 ya watu niliozungumza nao wanasema sasa ni wakati wa mabadiliko, sasa ni Chadema. Akimnadi mgombea wa udiwani Bw Julius Wasira juzi, kada wa Chadema Lilian Wasira alisema hakuna wa kuizuia Chadema katika uchaguzi huu au chaguzi zijazo. Alisema hakuna kitu CCM imeshindwa kufanya kwa miaka 53 itaweza kufanya kwa miaka michache ijayo. Ni Chadema pekee inaweza kuleta ukombozi, alisema. Nae mgombea alisema wampe fursa ya kuongoza na atawawakilisha vema katika kulinda mapato ya halmashauri.

2KO pamoja kuiimua bunda ye2 kwa kupitia cdm 2endeleze harakat kama kawa kiongoz
 
nina hakika hiyo 90% uliyozungumza nayo ni walewale GONGO INFECTED PEASANTS.. nilitegemea uniambie asilimia 100!!!! kumbe hata wafuasi wako wengine hawatakupigia kura????
shame
Mama yako asingepika gongo wewe ungekuwa bado unapiga mswaki wa mdaha wewe
 
Back
Top Bottom