Mfalme Daud
Senior Member
- Feb 3, 2012
- 166
- 109
Wadau asalam aleykum?
Mi kama mpenda demokrasia hapa Tanzania kwa sasa nikiwa Sumbawanga, naona kuna mbinu chafu anaziandaa Aeshi Khalfan Hilary i.e CCM kuweza kutetea kiti chao.
Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO 'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo Norbet wa CHADEMA. Mi nilijua wengi hawamtaki kutokana na kesi iliyomvua ubunge. DAH! Kwenye uchaguzi wa NEC alipita kwa kishindo kikubwa.
SO CHADEMA KAZI KWETU!
Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO 'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo Norbet wa CHADEMA.
Wadau asalam aleykum?
DAH! Kwenye uchaguzi wa NEC alipita kwa kishindo kikubwa.
SO CHADEMA KAZI KWETU!
Wadau asalam aleykum?
Mi kama mpenda demokrasia hapa Tanzania kwa sasa nikiwa Sumbawanga,
naona kuna mbinu chafu anaziandaa Aeshi Khalfan Hilary i.e CCM kuweza
kutetea kiti chao.
Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO
'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo
Norbet wa CHADEMA. Mi nilijua wengi hawamtaki kutokana na kesi iliyomvua
ubunge. DAH! Kwenye uchaguzi wa NEC alipita kwa kishindo kikubwa.
SO CHADEMA KAZI KWETU!
Mwenye hekima huambiwa neno na kulishika, hii tabia ya kubishana kwa kila jambo kuna mtu atajisikia vibaya baadae. Hivi ushauri huu una ubaya gani?
Mleta mada ni mzushi sana, unaposema alishinda uchaguzi wa NEC Ccm kwa kishindo unamaanisha nini?
Embu tuambie alikuwa anagombea kupitia ngazi ipi, washindani wake ni nani, alipata asilimia ngapi ya kura?
Embu jibu hayo ilitukuumbue vizuri.
Bado rufaa haijasikilizwa, kwa hiyo tarehe ya uchaguzi bado.Kwani uchaguzi Mdogo S'wanga lini?
Wakisimamisha mtu tofauti na Aeshi wanaweza kuleta upinzani, lakini kwa sasa sioni mtu ndani ya CCM hapa Sumbawanga anayeweza kuleta upinzani kwa CDM.Hapa Sumbawanga mjini hata kama CCM watamsimamisha Pinda na CHADEMA wakamsimamisha mtu yoyote yule(hata kichaa anaye okota makopo hapa mjini) bado nina uhakika Chadema itashinda tu.
Sababu kuu ni kwamba CCM haipendwi kabisa kabisa lakini pia kitendo cha kuchakachua matokeo mwaka 2010 kiliwaudhi watu wengi sana na mwisho kauli na vitendo vya kimaudhi(kiutu na kiimani)alivyofanya Aeshi mwaka 2010.
Na kwa taarifa yako CCM kwa sasa wanaumiza kichwa sana juu ya nani wa kumsimamisha kugombea kama uchaguzi utatangazwa kurudiwa kwani huyo Aeshi anatafsiliwa vibaya sana na viongozi wa juu wa chama kutokana na matukio fulani fulani ambayo yamekipa chama wakati mgumu sana.
Halafu wewe mleta mada ni mzushi sana, huyu Aishe japokuwa ni kijana na mtu mwenye pesa lakini hana tabia kabisa ya kujichanganya na watu wa kawaida zaidi sana anaonekana bar na night club akikamua pombe na malaya tu, kama kuna mtu anabisha aje hapa Sumbawanga mjini ajionee mwenyewe.
Rufaa itasikilizwaje wakati CCM waligoma kukata rufaa na muda wa mwisho wa kukata rufaa umeshapita zaidi ya mwezi sasa?Bado rufaa haijasikilizwa, kwa hiyo tarehe ya uchaguzi bado.
Rufaa itasikilizwaje wakati CCM waligoma kukata rufaa na muda wa mwisho wa kukata rufaa umeshapita zaidi ya mwezi sasa?