Wasioolewa mna nini Lakini??

Acha usiwashtue bhana .. Hivyo ni viwanja vyetu vya mazoez wakat tunajiandaa na mechi muhimu za nyumban kwetu..
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuolewa na kuoa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hivi i akuwaje!?,halaf mwenzao ana jichagulia tu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kila jambo na wakati wake,tuwape muda dada zetu ili wafanye uwamuzi sahihi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…