nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Hawawezi kuthubutu kuruhusu muwaumbueKwamba polisi au dola wanadai hawahusiki na hawa wanaoteka watu,wala hawawajui,inawezekana ni kweli,je serikali iko tayari kuruhusu wananchi wafanye wafanyalo pindi WASIOJULIKANA wanapoteka mtu,au kwa lugha rahisi serikali itamke tu kuwa mkiwaona wanajaribu kuteka mtu tusaidieni kuwashughulikia kama alivyofanya ZAKARIA kule tarime,
1. Wanachokozwa Je mkuu ?!.Mkiwachokoza watakufuata lakini ukijilia makande yako na kulala hawakufuati
Sugu ana akili sana1. Wanachokozwa Je mkuu ?!.
2. Mbona awamu zilizopita hawakuwa na uadui na wananchi ?!.
3. Wakoloni walikuwa na sababu za kuwa na vikundi hivi. Kwani walilinda utawala wao dhidi ya wazalendo. Je leo sababu ni ipi na dhidi ya nani ?!.
Kama hutojali tujibu.
Kama ana akili sana. Mbona alisoteshwa jela miezi almost sita ?!Sugu ana akili sana
Wakoloni wa CCM wanajilinda dhidi ya wazalendo wa kidanganyika1. Wanachokozwa Je mkuu ?!.
2. Mbona awamu zilizopita hawakuwa na uadui na wananchi ?!.
3. Wakoloni walikuwa na sababu za kuwa na vikundi hivi. Kwani walilinda utawala wao dhidi ya wazalendo. Je leo sababu ni ipi na dhidi ya nani ?!.
Kama hutojali tujibu.
Kwamba polisi au dola wanadai hawahusiki na hawa wanaoteka watu,wala hawawajui,inawezekana ni kweli,je serikali iko tayari kuruhusu wananchi wafanye wafanyalo pindi WASIOJULIKANA wanapoteka mtu,au kwa lugha rahisi serikali itamke tu kuwa mkiwaona wanajaribu kuteka mtu tusaidieni kuwashughulikia kama alivyofanya ZAKARIA kule tarime,
1.Smartphone yako ndio pepo yako1. Wanachokozwa Je mkuu ?!.