stujadiliane
Member
- Jun 2, 2017
- 66
- 84
Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens
Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
Mkuu ulijipa hofu ya bureee kabisa. Pole sana kwa kupenda sifa.Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens
Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
Tembelea mahabusu zetu uone vijana walivyofichwa huko bila mashtaka yoyote... Halafu mbinu zimebadilika siku hizi. Hakuna kuacha ushahidiUkakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens
Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
Useng.....Ndio nini....
Tembelea mahabusu zetu uone vijana walivyofichwa huko bila mashtaka yoyote... Halafu mbinu zimebadilika siku hizi. Hakuna kuacha ushahidi
Wapo hapa hapa pasipo julikana.Ukitaka kuwa ona fichua siri za mkulu nyembeUkakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens
Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
wemeenda nairobiUkakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens
Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
huyu mngese tyuu katumwa asubuhi kama alivotumwa yule mpambe wa sizonje amkataze mkalimani kutafsiriWalio mshambulia Lissu hawajulikani. Wewe unasema Sirro amewatokomeza, jee hata wale walio mshambulia Lissu nao wametokomezwa? Amewajuaje kuwa ndio hao? Mbona anasema uchunguzi unaendelea tofauti na wewe unayetangazia watu kuwa hawapo tena. Acha kupotosha unless useme wale wa Lissu walitumwa na huyo unayesema katokomeza na kawaambia waache tuu kwa vile walishindwa kazi
tusipopajuaWanakaa pasipojulikana