Wasio olewa wafanyeje?

Huwa nashangaa jamii jinsi inavo kuwa selfish na biased. Inasistizwa sana kwa mtu asie olewa kutofanya mapenzi mpaka atakapo olewa. Sasa endapo itashindikana kuolewa je jamii inamshuri nini mhusika? Je is it possiible wanawake wote kuolewa tena katika ratio ya one to one? Inaposhindikane kuolewa mwanamke automatically anakuwa hana sexual desire au that biological mechanism ina kuwa active kwa wenye ndoa tu? na je?, vizuizi hivi si ndio vinaweza kuwa vinaongeza nyumba ndogo? Maana kwa kanuni ya supply na demand waliolewa watakuwa wachache na wasilolewa wengi so wasioolewa wanabanana na waliolewa katika sharing limited resources. Nipeni mawazo ila msijifungie kwenye box.
una akili sana, good guy
 
huwa nashangaa jamii jinsi inavo kuwa selfish na biased. Inasistizwa sana kwa mtu asie olewa kutofanya mapenzi mpaka atakapo olewa. Sasa endapo itashindikana kuolewa je jamii inamshuri nini mhusika? Je is it possiible wanawake wote kuolewa tena katika ratio ya one to one? Inaposhindikane kuolewa mwanamke automatically anakuwa hana sexual desire au that biological mechanism ina kuwa active kwa wenye ndoa tu? Na je?, vizuizi hivi si ndio vinaweza kuwa vinaongeza nyumba ndogo? Maana kwa kanuni ya supply na demand waliolewa watakuwa wachache na wasilolewa wengi so wasioolewa wanabanana na waliolewa katika sharing limited resources. Nipeni mawazo ila msijifungie kwenye box.

nakuelewa unachosema ila wengi hawana tabia nzuri na hawajijui na wanaume hawawaoi
 
Back
Top Bottom