Wasio olewa wafanyeje?

Invarbrass

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
504
111
Huwa nashangaa jamii jinsi inavo kuwa selfish na biased. Inasistizwa sana kwa mtu asie olewa kutofanya mapenzi mpaka atakapo olewa. Sasa endapo itashindikana kuolewa je jamii inamshuri nini mhusika? Je is it possiible wanawake wote kuolewa tena katika ratio ya one to one? Inaposhindikane kuolewa mwanamke automatically anakuwa hana sexual desire au that biological mechanism ina kuwa active kwa wenye ndoa tu? na je?, vizuizi hivi si ndio vinaweza kuwa vinaongeza nyumba ndogo? Maana kwa kanuni ya supply na demand waliolewa watakuwa wachache na wasilolewa wengi so wasioolewa wanabanana na waliolewa katika sharing limited resources. Nipeni mawazo ila msijifungie kwenye box.
 
kama imeshindikana kuolewa,usikubali kuwa nyumba ndogo....siku hizi madildo kibao!
 
Sio wanawake wote wanaolewa, Ndoa ni bahati adimu sana kutokea. Kutokuolewa sio mwisho wa maisha, nawashauri dada zangu hawa kujituma ktk kufanya kazi kwa ajili ya kujiendeleza kimaisha. ****mates wa kuzaa watoto nao wapo wengi sana!
 
Mungu kamuumbia kila mtu wa kwake,ila hatuamini tu,tunakurupuka hatuombi kwa kumaanisha
Saafi dada.. Kama kuna vitu shetani hataki kusikia ni ndoa...nje ya ndoa ni uzinzi - machukizo mbele za Mungu..ndoa zinawezekana kama alivyosema gaga hapo juu..ila bintis zetu warudi kwa watu wazima wawape maujanja (fundwe), waache udhungu uchwara (utumwa wa mila za magharibi)..leo unakuta bint kavaa kata 'k' mtaani...nje ya ndoa mwanamke hayuko salama..kama atakuwa na watoto nje ya ndoa huko mbele ya safari aweza pigwa na upweke/sononi unless awe mcha Mungu...Mimi ni Baba wa yatima na Mume wa wajane..
 
Mungu kamuumbia kila mtu wa kwake,ila hatuamini tu,tunakurupuka hatuombi kwa kumaanisha

Mungu alituumba akaacha gap kwa kila jinsia ili tukamilishane. Na haiwezi tokea Mungu akampa binadamu shida, ni rafiki yao anayeabudiwa na wengi.
 
Sio wanawake wote wanaolewa, Ndoa ni bahati adimu sana kutokea. Kutokuolewa sio mwisho wa maisha, nawashauri dada zangu hawa kujituma ktk kufanya kazi kwa ajili ya kujiendeleza kimaisha. ****mates wa kuzaa watoto nao wapo wengi sana!
<br />
<br />
Very inspiring words..sasa hao mates wa kuzaa nao wawe wanaume ambao na wenyewe hawataki kuoa au walio kwenye ndoa..fafanua please?
 
. . . . Mtu asiye na mke hujishughulisha na kazi ya Bwana jinsi atakavyo mpendeza Bwana. Mwanamume aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia jinsi atakavyompendeza mkewe,naye amegawanyika. Mwanamke asiyeolewa au bikira hujishughulisha na mambo ya Bwana apate kujitolea mwili na roho kwa Bwana. Lakini mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii jinsi ya kumpendeza mumewe. 1wakorintho 7:32-34

huu ndo uelewa wangu!
 
Sio wanawake wote wanaolewa, Ndoa ni bahati adimu sana kutokea. Kutokuolewa sio mwisho wa maisha, nawashauri dada zangu hawa kujituma ktk kufanya kazi kwa ajili ya kujiendeleza kimaisha. ****mates wa kuzaa watoto nao wapo wengi sana!

aiseeee
 
Huwa nashangaa jamii jinsi inavo kuwa selfish na biased. Inasistizwa sana kwa mtu asie olewa kutofanya mapenzi mpaka atakapo olewa. Sasa endapo itashindikana kuolewa je jamii inamshuri nini mhusika? Je is it possiible wanawake wote kuolewa tena katika ratio ya one to one? Inaposhindikane kuolewa mwanamke automatically anakuwa hana sexual desire au that biological mechanism ina kuwa active kwa wenye ndoa tu? na je?, vizuizi hivi si ndio vinaweza kuwa vinaongeza nyumba ndogo? Maana kwa kanuni ya supply na demand waliolewa watakuwa wachache na wasilolewa wengi so wasioolewa wanabanana na waliolewa katika sharing limited resources. Nipeni mawazo ila msijifungie kwenye box.

Umekosea kidogo. Jamii haiko selfish wala biased. Jamii ni muunganiko wa watu mbalimbali wenye fikra mbalimbali. Hilo swali lako ukiuliza jamii itakupa miongozo tofauti.

1. Kaulize hiko swali lako kwenye jamii ya kuabudu kwa imani yako ..utapata jibu lake very clear!..Jaribu kumuuliza kiongozi wa wako wa kidini
.
2. Kaulize hilo swali kwa jamii yako pale Pub au saloon..Utapata jibu very clear! hasa kama umezungukwa na jamii ya wanywaji kama wamelewa watakupa jibu la haraka very clear tena wanaweza wakakutenga usipokubali jibu lao!

3. Uliza swali hapa MMU ambako kuna jamii mchanganyiko.. utapata jibu mchanganyiko.. na litakuchangaya.

Ushauri wangu ..tafuta upande wa jamii ambayo unaona wewe umeegemea kwa sasa na fuata ushauri wao!
 
Huwa nashangaa jamii jinsi inavo kuwa selfish na biased. Inasistizwa sana kwa mtu asie olewa kutofanya mapenzi mpaka atakapo olewa. Sasa endapo itashindikana kuolewa je jamii inamshuri nini mhusika? Je is it possiible wanawake wote kuolewa tena katika ratio ya one to one? Inaposhindikane kuolewa mwanamke automatically anakuwa hana sexual desire au that biological mechanism ina kuwa active kwa wenye ndoa tu? na je?, vizuizi hivi si ndio vinaweza kuwa vinaongeza nyumba ndogo? Maana kwa kanuni ya supply na demand waliolewa watakuwa wachache na wasilolewa wengi so wasioolewa wanabanana na waliolewa katika sharing limited resources. Nipeni mawazo ila msijifungie kwenye box.

ndoa kwa ratio ya one to one kuna wanawake hawataolewa kwani wanawake ni wengi kuliko duniani na hata Tanzania. Pili, ni rahisi wanawake wote kuolewa kwani ndoa ziko za aina tatu: za kidini (mume/ mke na pia mume/wake), kimila na zania; pia kuna dini nyingine au dhehebu mfano RC padre lazima awe mwanaume na hafungi ndoa, kuna masista vilvile ambao wakishaweka nadhili ya masiha hawaolewi. Hivyo kwa framework hii yawezekana wote wakaolewa, ila tatizo ni tabia na kuwa hidden agenda kwenye ndoa mfano kufuata mali pia wanawake wanashindwa kuweka mazingira mazuri ya kuolewa. Pia kuna watu wanaoa kufuata makabila na majina ya ukoo sasa hilo pia ni tatizo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom