Wasimamizi wa uchaguzi Uganda waliowatangaza wagombea wa upinzani kushinda nafasi za Ubunge na Udiwani wakamatwa na polisi na kushushiwa kipigo

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Afrika ni ngumu sana kwa baadhi ya mataifa!

Mfano mataifa ya Afrika Mashariki yanatia aibu sana katika mchakato wa uchaguzi walau Kenya kuna misingi ya Haki na sio Tanzania wala Uganda na mataifa mengine ni kunaukandimizaji wa haki mkubwa sana katika kipindi cha uchaguzi!

Ukoloni mpya unazidi kututawala wenyewe!
==============
Inaelezwa kuwa huko Uganda, wasimamizi wa uchaguzi waliowatangaza wagombea wa upinzani kushinda nafasi za ubunge au udiwani (councillor) wamekamatwa na Polisi na kupewa mkong'oto.!

Your browser is not able to display this video.
 
Ingawa NRNE Bado haijazaa matunda huku kwetu
ila waganda waitumie inaweza kuleta matokeo chanya kiasi

Wakiendelea kumchekea huyu dingi m7 atafia ikulu!
 
Shit hole nation🚯🚯🚯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…