Nashauri asigombee.Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Brother unatulisha matango pori, kasome upyaWinston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.
Mimi ni air hostage[emoji28]Brother unatulisha matango pori, kasome upya
Huku mtaani Kuna wauza mitumba waliomaliza degree.Sheria zetu zinakataza ajira kwa watoto chini ya miaka kumi na nne (14-).
Watoto wanaoanzia miaka kumi na nne (14+) wanaruhusiwa kuajiriwa kwa sharti kuwa ajira hizo zisihusishe kazi ngumu zitakazohatarisha ustawi wa mtoto, Samia aliajiriwa kuwa Karani.
Kazi kama za Migodini, Ubaharia melini, Kilimo na Viwandani ni hatarishi kwa watoto chini ya miaka kumi na nane (18) hivyo ni kinyume cha sheria.
Ila sheria imeacha mwanya kwa Wizara kutoa rukhsa maalum kwa watoto kuwepo maeneo hayo ikiwa ni kwa kusudi la Mafunzo, na Mafunzo hayo ni lazima yazingatie usalama wa mtoto.
Mwaka gani na mwaka gani?
Shule ya Ngambo?
Alama zake za ufaulu zilikuwaje?
Baada ya kidato cha nne akaenda chuo cha utawala wa fedha? Elimu ya ngazi gani? Na umesema alifeli mitihani?
Aliajiriwa akiwa na umri wa mtoto? (underage)?
Huku mtaani Kuna wauza mitumba waliomaliza degree.
Hawana ajira wengine miaka 20 imepita.
Yaani ktk Nchi yangu mtu anaweza ajiriwa kwanza ndo aende kutafuta ELIMU na qualification baada ya kuajiriwa tena wizarani?
At least umejitahidi kujibu HOJAUmakini unajitajika ktk kuoanisha suala la Samia aliyeaniriwa miaka ya 70s ambako hapakuwa na wasomi wengi na sasa ambapo tuna wasomi wengi.
Nani asiyejuwa cv ya Prof. Tibaijuka ilivyosheheni lakini c tuliona alivyopokea mamilioni ya iptl bila aibu mpaka ikabidi alazimishwe kujiuzulu kwa hivyo ndugu yangu hayo ma cv mkubwa hayana maana yoyote katika uongozi ni wizi tu elimu ya kiasi na uadilifu ndio muhimu.Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Elimu inayohitajika ni angalau Degree 1 au 2 kwenda PhD na mbele ni ishu za Academic tu. Hazina impact yoyote kwenye utawala. MAGUFULI alikuwa na PhD lkn alikuwa hovyo kabisa compare to Samia.Umakini unajitajika ktk kuoanisha suala la Samia aliyeaniriwa miaka ya 70s ambako hapakuwa na wasomi wengi na sasa ambapo tuna wasomi wengi.
Katia mfano hapo mkuuHuyo Migiro unaemsifia unajua alitokaje UN?
Jaribu kufuatilia legacy yake huko UN ndiyo utajua kuwa na CV kali nijmbo moja na kuwa na utendaji uliotukuka ni jambo jingine.
Sawa sawaHuko kwenye BARAKA ZA MUNGU tutakuja baadaye. Ngoja kwanza, usiwe na pupa.
Una CV ya samia?
Hoja dhaifu.Nani asiyejuwa cv ya Prof. Tibaijuka ilivyosheheni lakini c tuliona alivyopokea mamilioni ya iptl bila aibu mpaka ikabidi alazimishwe kujiuzulu kwa hivyo ndugu yangu hayo ma cv mkubwa hayana maana yoyote katika uongozi ni wizi tu elimu ya kiasi na uadilifu ndio muhimu.
Nadhani hujui tu namna ya kutafuta taarifa. Hata hapa JF kitu kinachofanana na hicho unachotafuta kilishawekwa. Pekuwa vizuri utaona. Naamini kila kiingiacho JF huwa hakifutiki.Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Ni kazi iliyolingana na uwezo wake wa kisomo, siyo urais.Kwani usekretari siyo kazi?
Ni kweli 100% Mkuu.Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya Samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya Samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?