MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,753
- 71,660
Hahahaa umenikumbusha kifo chake alifutiliwa kuanzia dar hadi moshi akaenda kupugiwa risasi kwenye shamba la mahindiHayati Meja Jenerali Imran Kombe"Kamanda Ngono"-Alikusanya vikosi vyake kuingia Uganda kuvuka mto mkorofi wa Ngono(mgonjwa wa kwanza wa HIV duniani inahisiwa alitoka kando ya mto huu)Alipata sana shida ya vikosi vyake kushambuliwa na wadudu wahasa wakati wa usiku lkn akaingia Uganda tayari kwa mapambano!Gen Kombe aliuliwa na polisi kwa tuhuma kuwa ni mwizi sugu wa magari!!!!!
siku hizi wapo facebook na insta wanapost picha za grid collageMpaka dakika hii wajuzi wa mambo hawajaja, kweli JF siku hizi imevamiwa maana those days tayari wangekuja wataalam kudadavua issues
Mpaka hapo wasiojulikana washakujuaHuyo jambazi aliefananishwa nae namfaham vizuri.kakaake ni boss flani yupo serikalini,ningeeleza kirefu ila naogopa "wasiojulikana"
Ana nyumba maili 6 moshi na ndio huko huko walienda kummaliza mbele ya geti lake akishuka garini.Hayati Meja Jenerali Imran Kombe"Kamanda Ngono"-Alikusanya vikosi vyake kuingia Uganda kuvuka mto mkorofi wa Ngono(mgonjwa wa kwanza wa HIV duniani inahisiwa alitoka kando ya mto huu)Alipata sana shida ya vikosi vyake kushambuliwa na wadudu wahasa wakati wa usiku lkn akaingia Uganda tayari kwa mapambano!Gen Kombe aliuliwa na polisi kwa tuhuma kuwa ni mwizi sugu wa magari!!!!!
Si kweli it was an assassinationYule aliyefananishwa na jambazi..?!!
Hayati Meja Jenerali Imran Kombe"Kamanda Ngono"-Alikusanya vikosi vyake kuingia Uganda kuvuka mto mkorofi wa Ngono(mgonjwa wa kwanza wa HIV duniani inahisiwa alitoka kando ya mto huu)Alipata sana shida ya vikosi vyake kushambuliwa na wadudu wahasa wakati wa usiku lkn akaingia Uganda tayari kwa mapambano!Gen Kombe aliuliwa na polisi kwa tuhuma kuwa ni mwizi sugu wa magari!!!!!
Funguka sasa mana verified Info zinasema gari yake ilifananishwa na Ya jambazi fulani mwizi wa magariSi kweli it was an assassination