Karudisha kadi ya Yanga?IMANI KAJULA NDIYE CEO WETU MPYA
uongozi wa Klabu umefikia makubaliano ya kumuajiri Ndugu Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) kwa mkataba wa miezi sita✍️
Kajula anachukua nafasi iliyoachwa na Barbara Gonzalez ambaye alijiuzulu nafasi hiyo Desemba 10/2022✍️
Kajula ni Mzoefu kwenye msuala ya uongozi wa mpira kwani alikuwepo kwenye kamati ya Maandalizi Michuano ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 iliyofanyika nchini mwaka 2019✍️
Kabla ya kujiunga nasi kajula alikuwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Masoko na Mawasiliano ya EAG Group tangu 2013 mpaka sasa✍️
Kajula ni mbobevu wa masuala ya Masoko na Mawasiliano na amaefanya kazi na Makampuni mbali mbali na mabenk ndani ya nje ya nchi✍️
Miongoni mwa kazi alizofanya mpaka sasa✍️
-Mkuu wa kitengo cha masoko na Mawasiliano NMB (2006-2013)✍️
-Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Bank ya Posta(2003-2006)✍️
-Meneja Masoko wa CRDB(1999-2003)✍️
Akiwa EAG Group Kajula alikuwa sehemu ya Maandalizi ya Wiki Ya Simba Mpaka kilele chake (Simba Day) ambapo Kampuni hiyo ndiyo ilitengeneza mitandao ya kijamii ya Klabu💪
MIXOLOGIST umebalikiwa akili nyingi nili mnukuu GENTAMYCINE .....Wamevuna mabuya
Umeona eehCv nyepesi kabisa hii
Sawa mkuu, pamoja na CV hiyo huyu Bwaa mkubwa atachacheza namba ngapi pale Simba ili ichukue makombe naomba kufahamu.IMANI KAJULA NDIYE CEO WETU MPYA
uongozi wa Klabu umefikia makubaliano ya kumuajiri Ndugu Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) kwa mkataba wa miezi sita✍️
Kajula anachukua nafasi iliyoachwa na Barbara Gonzalez ambaye alijiuzulu nafasi hiyo Desemba 10/2022✍️
Kajula ni Mzoefu kwenye msuala ya uongozi wa mpira kwani alikuwepo kwenye kamati ya Maandalizi Michuano ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 iliyofanyika nchini mwaka 2019✍️
Kabla ya kujiunga nasi kajula alikuwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Masoko na Mawasiliano ya EAG Group tangu 2013 mpaka sasa✍️
Kajula ni mbobevu wa masuala ya Masoko na Mawasiliano na amaefanya kazi na Makampuni mbali mbali na mabenk ndani ya nje ya nchi✍️
Miongoni mwa kazi alizofanya mpaka sasa✍️
-Mkuu wa kitengo cha masoko na Mawasiliano NMB (2006-2013)✍️
-Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Bank ya Posta(2003-2006)✍️
-Meneja Masoko wa CRDB(1999-2003)✍️
Akiwa EAG Group Kajula alikuwa sehemu ya Maandalizi ya Wiki Ya Simba Mpaka kilele chake (Simba Day) ambapo Kampuni hiyo ndiyo ilitengeneza mitandao ya kijamii ya Klabu💪
Hapo ni kibiashara zaidi na kukuza brand...mchakato wa kumpata mmbobezi wa mpira unaendelea kwa kutafutwa atakaekuwa mkurugenzi wa ufundi.Ngoja kwanza
Simba hawakuona haja ya kuwa na mtu ambaye ni mbobezi kwenye masuala ya mpira zaidi?
Hao friends of Simba ndio wenye territory! Hata MO hawawezi hao. Lakini wamesaidia kuituliza SimbaYani simba imekua kama duka la reja reja, huyu nae kapewa mkataba wa miezi sita?
Ebu wekapo yako mkuuCv nyepesi kabisa hii