Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

kuna nn kwa membe?mnataka kufanya mapinduzi?km ni 2020 hyo ndoto kwa ccm
 
Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a
Tanzanian CCM politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a
Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.
 
leta na Cv ya Jiwe
 
Yaani watu wanatoka upinzani ndio wanaopewa vyeo kwenye chama, tena watoto wadogo tu.
Sisi tuliojitolea kukipigania chama kwa miaka mingi katika jua na mvua, hali na shari, masika na kiangazi, tunabaki kupangusa vumbi tu na kupiga makofi.
Nasema imekwisha, Baba tunaziweka roho zetu mikononi mwako. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
our presidaaa to be si ndio wanasema ana undugu na mkwere mzee wa msoga [emoji23][emoji23]
 
Watanzania ni wanafiki sana,eti wanajifanya kuwa hawajui kuwa mtu mwenye maamuzi ya nani awe rais kwenye nchi hii ni CcCM na wala siyo wao!!......kura huchakachuliwa,kura huibiwa,mizengwe hutumika na policeccm hutumika pia kufanikisha hilo na sisi Watanzania hutulia kimya kama maji kwenye mtungi!!
 

CC Juliana Shonza na Tumbili.

Muda si mrefu utasikia Mtatito kapewa cheo
 
Nimeamini kweli mambo yametight na watanzania sio watu wa kisport, wengi walimnanga membe na kumsifu jiwe. sasa baada ya kuanza kuwabana gafla wanakumbuka shuka asubuhi kumekucha na kuanza kuokoteza ndoto za alinacha.kwakuwa mlimtendea vibaya lowassa dhambi hii haita waacha ndani ya ccm hakuna atakaekuja na kuinusuru ccm kwa haliiliyopo. wengi wameumia sana na wakabaki ndani ya ccm, pia mheshimiwa jiwe nae alipoingia akazidi kuwaumiza kwakuwatisha na kufanya maamuzi yake binafsi mara warudishe maliza chama mala hili mala lile, kibaya zaidi DAB akaonekana ndo fisadi namba moja lakini hatua hachukuliwi japo wengine kama kina mwigulu na nape wakaliwa vichwa chap kwa haraka. CCM inahitaji maombi sana na mbeleni mnakuja kuparuana especially baada ya kuchukua wachezaji wa mkopo toka upinzani na kuwapa namba huku wafia timu wakipigwa bench.Kila la kheri mtani wangu BKM mzee wa Lindi kuchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…