Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Umesahau kuweka mwaka aliongia seminari hadi akafukuzwa.
 
Ila hapo kwenye distance learning ndio kidoogo pametia doa.Anyway he is doing fine,ni kiboko ya mafisadi kwa kweli.
 
cv ya kuhama hapa kwenda pale, ulipofika kwenye kabila tu nikajua ni magumashi haya! Kwani ni msukuma wa wapi?
 
Ushindi wa 2015 hapo umekosea, sema aliyempa huo ushindi
 
Rekebisha makosa. Alianzia Katoke seminary kabla ya kuhamia hiyo lake sec. Aidha alikuwa Mwl wa Sengerema sec na siyo Sengerema s/m
 
Ana watoto wangapi!?
 
Ha ha ha ha mkuu umeua kabisa.
 


Mkuu kwenye hiki kipengele umeangukia pua.
 
sasa kama nguvu unazo za kulimia si ulime. au.umezoea misaada kutoka kwa ndugu na.majirani...?angalia mzee usije ukaolewa hapo mjini
Nimekuuliza swali dogo tu unadhan Kilimo ni rahisi?
 
Mkuu umeisoma CV yote kumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeamini kuna wabongo wanapenda kusoma aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…