Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Mimi napita ila elimu ni kitu muhimu sana
 
Apo hamna CV bana! Tutafute cv ya kamanda wetu ndo tuilete achen uzush bana!
 
Acha kulia lia na hoja yako dhaifu hujui maana ya forum mbona kuna CV za kina Prof Majimarefu, Lusinde, Kombe, zinajadiliwa umekaa kimya kuona CV ya Mbowe unatokwa na povu...kama uwezi kuchangia kaa kimya tuache Watanzania tuwajadili viongozi wetu.

double standard.ni ujinga kutoruhusu mtu wako ajadiliwekwakuwa unampenda
 
kama cv yake ni hii aligombeaje u raisi wakati sheria ilikuwa inataka mgombea awe na angalau digrii?
 

Wacha porojo kama ulisoma na Mbowe sisi inatuhusu nini hii CV ipo kwenye tovuti ya bunge na Mbowe ni mbunge kwani yeye hajaiona mpaka wewe huwe msemaji wake, basi mpigie simu umwambie.
 

Haha kama nakuona ulivyoyajaza kwenye suruali pole ndugu ndio siasa hiyo
 
kama ungekaa kimya ningesema umetoroka mirembeQUOTE=Ritz;4188421]Acha kulia lia na hoja yako dhaifu hujui maana ya forum mbona kuna CV za kina Prof Majimarefu, Lusinde, Kombe, zinajadiliwa umekaa kimya kuona CV ya Mbowe unatokwa na povu...kama uwezi kuchangia kaa kimya tuache Watanzania tuwajadili viongozi wetu.[/QUOTE]
 
yalaaa! huyo ndo handsome boy..mzee wa kuuza sura taifa baadaaeee
 
Nimeamini kuna watu ukiwagusa humu wanaporomosha MITUSI hasa mbona kwa wengine hamsemi.
Haya O level alikuwa Kolila Secondary (alinitangulia), ameshawahi kufanya BOT keshawahi kuishi New York au tuwaambie na kazi alizozifanya huko? acheni hasira na utoto muwe Bias mwageni CV zake hapa
 
Wacha porojo kama ulisoma na Mbowe sisi inatuhusu nini hii CV ipo kwenye tovuti ya bunge na Mbowe ni mbunge kwani yeye hajaiona mpaka wewe huwe msemaji wake, basi mpigie simu umwambie.
Kwani hii cv inamatatizo gani?
 
Wateule..acha upuuzi wewe...CV gani unaweka sasa?Umeteuliwa na Magamba nini?
Unashangaza unapoweka Cv ya mheshimiwa ambaye hana Elimu (According to you) halafu Employment status Eti BANK OF TANZANIA,how come?acha ujinga bhana ...
 
Sijui kwa nini unayaweka haya mambo ya Usalama wa Taifa katika CV ya Mbowe,cv ambayo inaonekana haipo.
Lakini ni kweli kabisa kuhusu Usalama wa Taifa. Kwanza lile ni jeshi,lipo hapa,lipo katika kila nchi. Kwa hiyo wakifanya kazi vibaya,hawawenzi kuwa dismantled kwa ujumla wao. Of course mtu akiingia kule hatoki,kama vile maafisa wa Jeshi ni maafisa wa Jeshi for life.
Complaint yangu mimi ni kwamba Usalama wa Taifa ipo katika Wizara ya Utawala Bora. Hiyo maana yake nini? Maana yake Usalama wa Taifa wanatazama wapi hakuna Utawala Bora ili warekebishe? Utawala ni administration. Kama wao hawafahamu kuhusu administration wanaweza kukagua Utawala Bora? Wale ni Secret Service,kazi yao ni kutembea karibu na viongozi,ili mtu asiwashamblie viongozi. Au kukusanya intelligence kufahamu kama kuna mtu anatishia usalama wa viongozi. Hizi ni bodygurad activities ambazo hazina uhusiano wowote na utawala bora. Inachotakiwa ni kwamba wao wawe tu excecutioners,watekelezaji,if someone has been pointed out to them kwamba haongozi vema.
Ukisema unataka wasimamie Utawala Bora it means wataiongoza nchi kama inavyoongozwa Usalama wa Taifa,ambayo hatujui inaongozwa vipi,kwa vile mambo ya kule ni siri,hatujui kama kuna manung'uniko au vipi.
Sasa matatizo yanatokea;ingawa it is very clear nchi ipo katika matatizo makubwa ya kiusalama,it is not clear who is to blame;kama wao wanafanya mambo bila kufuata kanuni,au wanapokea amri ambazo sio clear.
 
wale wote uliowaorodhesha hapo juu hawajatoa mchango wowote ktk taifa hili? We huna macho kweli,propaganda za kijinga kama hizo haziwafikishi popote ,hamna lolote nyie wauza sura tu
 

how best can one measure the capability of human kind,how can you judge what lives in a mind of a person, if cv is nothing y is it that mbowe and his freinds used education level by ranking the special seat contestants in order of education. Dont lie the world's best academicians uses cv to learn others. Take him back to sch. I dought if u have a good cv. If happens a learned person abuses his power that can not nullify the good of education. Tunataka wasomi ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…