Hapa lazima watu wakae kimya!!!!Wana Jf,
Kama Kuna kwenye taarifa Za elimu / taaluma Za viongozi wetu wa UKAWA kuanzia Mwenyekiti hadi viongozi nafasi Za chini Karibu tujadiliane.
LENGO ni kuanza kujihakiki wenyewe mapema na kutengeneza misingi bora kwa viongozi wetu wa hapo baadae.
Miaka ya 2007/2008 alikuja kuanza Degree hapa The University of Bradford sijui alimalizaga hapo mimi simooooooYa Mbowe bado ni kitendawili.
Miaka ya 2007/2008 alikuja kuanza Degree hapa The University of Bradford sijui alimalizaga hapo mimi simooooooYa Mbowe bado ni kitendawili.
Ya Mbowe bado ni kitendawili.
Chama kimejaa wenye elimu za hapa na pale