Wasichana wa Pakistani siku hizi...

Status
Not open for further replies.
wote hao wana waume zao. na watakua wameolewa kwa vibabuuu utafikiri kibabu cha FaizaFoxy.
 
tangu wakiwa wadogo hadi watu wazima wanawake wa huko utafikiri mazombie, yaani wanafungiwa ndani kama vile makuku ya kisasa. tamaduni zingine hazina faida kabisa aisee. waangalie tu hata nyuso zao unaona wakoje?

They have been caged like animals...seeing the sunlight to them formerly was a treat..now they are enjoying life...just what Jah created us to do..enjoy the fat of the land..extremists believes kwamba this kind of life angers...nani vile? who created them...
 
Ndiyo dini yangu ni ile inayotoa uhuru na haki kwa binadamu kama kuvaa vimini,matiti mapaja nje nje,na sasa tumeamua kufungisha ndoa za jinsia moja ktk nyumba zetu za ibada

huna dini wewe..ni mfuasi wa the best womanizer of all times
 
Swali zuri sana. Hivi kweli kwa nini uarabuni hakuna waafrika masalia kama ilivyo marekeni, uingereza etc. Waarabu makatili, huku kwetu sasa wanafanya nini?


Masalia hayawezi kuwapo kwa sababu mara baada ya kufikishwa huko wanaume walikuwa wanaasiwa immediately ili wasiweze kuzalisha na ili watumike kama starehe mbadala kwa waarabu wanaojisikia to have a change from opposite sex (same people who now think they have the moral authority kupigia kelele ndoa za jinsia moja) ..ingawa it was a wastage of time and energy kwa sababu hata wasingehasiwa reproduction ya blacks isingetokea kwani they were totally deprived of sexual satisfaction.

wanawake walitumika kama wajakazi na sexual tools kama BW. mfugandevu angejisikia kupata flavour ya mtumwa..na the wost nightmare ya black woman uarabuni ilikuwa ni kupata ujauzito wa mwarabu..it was death on the spot to the mother with the fetus inside!! kwa hiyo hata half caste huwezi pata.
 

Waarabu waondoke kwetu, we should go back to history!
 
Swali zuri sana. Hivi kweli kwa nini uarabuni hakuna waafrika masalia kama ilivyo marekeni, uingereza etc. Waarabu makatili, huku kwetu sasa wanafanya nini?

Kujaribu kukuelimisha wewe ni sawa na kumwambia Mkristo Sanamu la mzungu SIO MUNGU. Hawezi kukuelewa.

We unafahamu mpaka Crown Prince wa Kuwait ni Mtu mweusi?

Mtizame hapa.
http://news.bbc.co.uk/olmedia/1185000/images/_1189168_crownprinceafp150.jpg

Umeshafika NCHI ZA Kiarabu Ukaona watu wake?
Akili za upako Zina LAANA ya AJABU SANA.
 
Wafukuzeni

WaWafukuze Matajiri walipa Kodi No1 Tanzania?
Kwani hawajui Kufa njaa?

Thubutu!

Hakuna watoa ajira wakubwa TANZANIA NZIMA km Waarabu wakifatiwa na WAHINDI.

huyu ni Muhutu ndio mwenye Fikra za ki banyamulenge.
Tena Ashukuru mpaka hii Lugha Wametuketea Hao hao.
Leo hii tusinge elewana humu JF.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…