figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
mmmmh! wewe mzushi wewee!
mhhhhhhhhh!....sijui_sijawahi fika nachingwea,..ila nachojua ni kwamba kuna dada kule kijijni alikua daktari/nesi wa hospital ya kata yetu na alipanga home,..wadogo zake wawili walikuja kumtembelea nikawamega wote_sista yao akashtukia akaenda kumwambia mshua_mshua akaja juu,...ni kama hawajui kukataa vile,...lakn ni wazuri wa sura....anyway nilikua nasoma kidato cha 1,......i miss them sana i wish nipate trip ya nachingwea ili angalau nipafahamu
siwasemi vibaya mkuu,..ni wazuri na ninawapenda sana kiongozi wangu,...siku nikija ntakuarifu mkuuAcha kuwasema vibaya dada zangu. Ukifika Nach nitafute nikupe story zaidi za mabinti wa Kimwera
mmmmh! wewe mzushi wewee!
Mmmmh!haya Igwe!may b alikuheshimu tu na kuwa mkweli kwa kutimiza ahadi ya badae!sasa ww ulimjibuje?au nn kilifata baada ya ww kuambiwa hivyo?
Itabidi wawe wanatongozana wenyewe kwa wenyewe maana wengine watakuwa hatuwaelewi!km Igwe wa watu kasema badae binti kaibuka kweli,wakati huku ni kuagana tu!kazi kweli kweli!wavulana wa kule wanatongoza kwa mafumbo na wasichana wanakubali kwa mafumbo.akiguna au akakaa kimya huku kakutolea macho ndo kakubali hivyo.kama hakutaki ukamsalimia hata mala 100 hakujibu ng'o!.yaani hawaeleweki.mia