Wasichana wa kihabeshi

Mkuu kwanza mambo yako yawe safi, hata ugeni hutakosa japo utapambana na mitego ya rafiki zake kama unazo, vikao vya kula mirungi ni kawaida mpaka usiku, daima kula vizuri tu, kaka wanaokuja kuongea kihabeshi unao sana tu, ila hakikisha uwe ktk msimamo wako otherwise........

Body without head
 
tatizo baada ya muda ukoo wake wote utahamia kwako. Uhamiaji itabidi wawe rafiki zako.

hiyo ndio kawaida popote pale walipo duniani lazima wavute ndugu zao hivo ukioa uwe tayari kwa ilo ata wanyarwanda pia.
 
Nataka nifanye hivyo si unajua tena haya mambo inabidii udadavue na umjue huyo msichana kwa undani zaidi

Nawajua vizuri hao watu..sura wazuri sana ila.....
 
Kwa ushauri wa bure kabisa. Bora ukao yule mdogo wa ufoo saro, kabaki mmoja hajaolewa mzuri sana
 
Ndugu siku hizi huwezi chagua mwanamke kwa kabila cha msingi Ni wewe kumwamini mtege kwenye vitu vidogo vidogo kama matumizi je Ni muwazi mapenzi anajua mf kukuandalia mambo yako ya msingi je Ni mkweli anawaza kesho akiwa hivyo mweke ndani mengine mtarekebishana
 
Duuuu!weka ulinzi mkali sana!hao wajanja sana hawataki damu yao ipotee!!wana miiko ya asili!labda iotokee tu!!
 
Mlete kwangu nimtathimini kisha nikurudishie
 
Usiogope hao wanaokuambia ati watakuzalia mazaliwa ya kwao. Kitanda hakizai haramu Bro. Uulize moyo wako kwani weye ndio waenda kaa naye siku zenu zote. Kama ni kuzalia nje mbona hata wabongo wengi wanafanya hivyo tuu. Jiulize kama unampenda au vipi, naye je anakupenda au vipi?
Mhabeshi bwana ana uvumilivu na ukarimu na hishima debe kwa ndugu zako.
 
Wazuri, wanaheahima, wanaupendo, wanajua kuishi na mtu mmoja kimahuaiano hawana tabia ya mafiga matatu ila wana wivu sana anaweza kukwambia yameisha siku iyoiyo na kama haupo strong utashangaa maamuzi ni ya kweli. Karibu nimeoa pia mhabashi from sudani.
 
amharic?
 
Kaka sijakuelewa ebu fafanua kidogo pliz
 
Mtoto mmoja lazima azae na mhabeshi mwenzie ili ukoo usipotee,,,,,, au mimba zote anapewa na mhabeshi we unalea tu.
 

Hii ni kweli kabisa,,, na kitu kinapewa msisitizo sana na usipofanya hivo kikao cha ukoo cha kuvunja ndoa lazima kihusishwe hapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…