Wasichana wa dot. com

masanjamkandamizaji

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
171
Reaction score
72
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezikumuangusha anaCOMPOSE meseji tamu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni meseji yake peke yake.

"Babe Mambo, nimekumiss leo hadi nimekuota yaani I miss my Pompolimpo,pole na kazi mme wangu I wish I was there nikupet pet😆😆😆.

Leo niko zangu tu home sijatoka nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa hizi usiku.Love you xoxoxo"

Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji TWAAAAP!

Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu
"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli""Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine Kipipa"Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake anaamka anaenda dukani kwa Heavenhairtz Heavenhairtz
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya Vanilla.

We unabaki kujiuliza msichana wa 1st year ana iPhone 6s kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM,wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu hela kibwena.

Msichana akiamua kupauka ni Maamuzi binafsi tu, wana mbinu hawa viumbe balaa, kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!

By resource for Loveness masanja
 
Last edited by a moderator:
Ahaaaaaaaa loh umenivunja mbavu na miamara ya mpesa. Nakupenda sana jiefu.
 
Kuna ka ukweli ...yaani tunachunwa ile mbaya.
Sema ndo hivyo tena tumewapenda wenyewe
wacha tuiiisomeee nambaaa eheee....mademu mbele kwa mbele.
 
Tena boom likitoka anawakaba na wa chuo..kuna wa mzumbe..udsm..udom...Aridhi dada zetu wanaakili sana
 
Wenye hekima zao walisema, "anyone with a vagina and brain, can rule the world".
 
SEND TO MANY, anafowadi lile meseji TWAAAAP!

Hata uoga hawana kabisa
 
Hivi "vicheche" hata kuigiza kuwa nawaamini siwezi kwahiyo navipa hela zangu kwa kuwa nimeamua kutoa ili kupunguza uzito na huwa sijishughurishi na kutaka kujua habari zao.
 
Utawala huu kila mtu atakula alipopeleka mboga.
 
Hahahahah nimeipenda hiyo my pompolimpo 😀😀😀
 
Hahahahahan nimependa ati umepokea pesa toka sjui Nan kistuli hahha lol yawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…