Hivi kwanini wasichana baadhi wa hili jiji ukiwa na urafiki nae wiki tu mama yake ankufa gari inahitaji service rent imeisha shangazi anaumwa baba kafukuzwa kazo yeye ndo anategemewa na familia...yani nimekutana na wadada watatu wote hivi hivi...na wengine wameolewa... sielewi elewi ata kama kuchuna mbona hamna ata aibu jamani au ndo umjini? Na wengne wana majina makubwa kweli
Tatizo unatafuta watu weny status kubwa kwaiyo kubali kuumia kama unataka uenjoy tafuta watu wakawaidaHivi kwanini wasichana baadhi wa hili jiji ukiwa na urafiki nae wiki tu mama yake ankufa gari inahitaji service rent imeisha shangazi anaumwa baba kafukuzwa kazo yeye ndo anategemewa na familia...yani nimekutana na wadada watatu wote hivi hivi...na wengine wameolewa... sielewi elewi ata kama kuchuna mbona hamna ata aibu jamani au ndo umjini? Na wengne wana majina makubwa kweli
Dah nahisi umesema uhalisia wangu 😣Tatizo unatafuta watu weny status kubwa kwaiyo kubali kuumia kama unataka uenjoy tafuta watu wakawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ivo fanya maisha kuwa simpleDah nahisi umesema uhalisia wangu [emoji21]
Hahahahahaha polee mkuu.Yaaaaan acha tu mkuu. Wana matatizo hao.
Mwanzoni nilidhani ni kawaida. Nikalipa kodi, nikalipa umeme , maji.. halaf chumba anaishi yeye.
Sasa kituko ni kuwa kila ninapoonyesha kumudu ulipaji wa huduma..
Nazid kuongezewa na zingine. Ilifika mahali nikamwambia mama koma kabisaaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hao mimi nawatakaga sana sijui kwanini sijapata bahati hiyo yaani huyo demu wangu angeshangaa angejikuta familia yao yote wanapata mimba wakati mmoja yaani hakuna amae angebaki wote mimbaaaaaaYaaaaan acha tu mkuu. Wana matatizo hao.
Mwanzoni nilidhani ni kawaida. Nikalipa kodi, nikalipa umeme , maji.. halaf chumba anaishi yeye.
Sasa kituko ni kuwa kila ninapoonyesha kumudu ulipaji wa huduma..
Nazid kuongezewa na zingine. Ilifika mahali nikamwambia mama koma kabisaaa..
yaani hao mimi nawatakaga sana sijui kwanini sijapata bahati hiyo yaani huyo demu wangu angeshangaa angejikuta familia yao yote wanapata mimba wakati mmoja yaani hakuna amae angebaki wote mimbaaaaaa
ndiyo maana nasema wote wangebeba mimba zangu tena kwa wakati mmoja maana kama huyu demu yuko na mimi inamaana na wao wako na mabwana zao sasa mimi nitachukulia kuwa na mimi wananitaka kwahiyo nitajilia kiulaiiiniii nakuwaachia chata languShida inakuja majuku ya mzaz wake unahamishiwa ww.. hapo mahari hujatoa..