vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Nilikuwa nukijiuliza maswali yasiyokuwa na majibu hivi hawa Dada zetu walio ktk mitandao ya kijamii nini kimewakumba?mbona nikama kuna mashibdano yakuonyesha makalio yao,Uchi wao,na maeneo yao muhim kama matiti?hizi kitu gani kinawasumbua?mnatatizo gani? Maana kurasa nyingi za wadada zumekuwa sexual oriented tatizo ni nini?je walengwa wa hizo vitu ni akina nani?maana viuno,mapaja,sehem nyeti,chupi,matako vimekuwa sio vitu adimu tena kwani mmepatwa na nini?