De maestro
Member
- Feb 15, 2013
- 25
- 4
Jaman mbna wanawake hawapo loyal kwa wachumba zao
Haahaaaaaaa!usisemewasichana tu hata wanaume pia kueni waaminifu.
Jaman mbna wanawake hawapo loyal kwa wachumba zao
Jaman mbna wanawake hawapo loyal kwa wachumba zao
Wewe ni mwaminifu?
Sawa mkuuSija salitiwa@harufu
Ahaah mnajitetea
sio kujitetea wanaume ndo chanzo cha matatizo katika swala la mahusiano.hata mpendwaje lakini kuwa na wanawake wengine ndo kawaida.toka nimeumizwa simwamini mwanaume yeyote yule maana naona wale wale kasoro majina tu.
Pole kwako au mtu wako wa karibu aliekumbwa na hili. Lakini ni vyema ungefunguka zaidi maana hoja yako imekosa nyama na uzito kama zile wa kujumuisha tabia za makabila fulani fulani. Kulitokea nini hadi kikakufanya ufikie hitimisho hilo?Jaman mbna wanawake hawapo loyal kwa wachumba zao