sio bure maneno hayo, lazima utakauwa umepewa majibu mbofumbofu.
Sory ntakaowaudhi ila wanawake wanaboa, utakuta wanawakataa watu wapole wema wanakuja wawaoe, wanaleta mapozi wanaringa
WANASHOBOKEA VIBITOZI, WAUZA SURA, AU WATU WAONGO WANAODANGANYA wanakuja kujijua mda umeenda washachezewa mwishowe wanazalishwa tu wa kuwaoa hawawaoni tena
Itakuchukua maisha yako yote ili uweze kuwaelewa hawa wanawake
siku utakapokuja kuwaelewa ndio siku utakayokufa
trust me