Waziir Hamad
Senior Member
- Jan 19, 2015
- 102
- 25
Habari zenu members.
Mi niko poa sana,ila kwa leo ningependa wasichana wote wa Jamii Forums wenye kujisisikia jirekebisheni,kama kujisikia kwako ni natural mistake basi punguza walau kidogo.
Kama ni za kuiga basi nakuomba acha kabisa,cause some other guyz hatuna muda mchafu wa kupoteza muda wetu na kuinvest katika mapenzi,inakutokea msichana anakwambia unaboa unamwamwambia poa kama hautaki kuboeka ngoja nifute tu namba yako.
Anasema futa tu kwani nini,mzee una delete then after few days anaanza kujitumisha text za kukuconvince ili umrudie,wengine tukisema "no" ni no kweli. Sometimes mnaji lostisha wenyewe kisa kujisikia kwenu,badilikeni.