Iweje akulete nyodo kama wewe sio sharo? kumbuka kua mwanamke ni mtu wakudekezwa kwa mapenzi maneno matamu
maneno laini umbembeleze,sasa wewe unampelekesha kama yuko JKT lazima akufanyie visa,ebu jaribu kumdekeza utaona
Atakuonyesha mapenzi hujawahi kupewa....