Sio jibu mchumba haitaki kwani tayari uko umemwoa? huenda hajui matumizzi yake mfundishe ataipenda sana.. niliwahi kuwa na jirani akawa ananimbia hapendi jiko la gas.. nikajagundua kumbe hajui kulitumia alivyojua tuu hakuwahi tena kutumia mkaa hata kwa kuchemsha harage