mrembowangu
Member
- Nov 20, 2013
- 25
- 8
Washing mashine inauzwa,ni mpya kabisa TWIN TUBE WASHING MACHINE,KG 31 kwa 500,000.for more information niPM
KG 31 kweli mkuu?
Usichoamini nin
Mkuu mbona tangazo lenyewe lina ficha vitu vya muhimu, hata picha zenyewe ni za kuficha ficha utafikiri mali ya wizi, weka mambo yote hadhari, kama ni mpya kweli kila kitu kimo, sio kutuwekea picha ya box lake badala ya machine
Washing mashine inauzwa,ni mpya kabisa TWIN TUBE WASHING MACHINE,KG 31 kwa 500,000.for more information niPM