Washindi wa tuzo za MTV EMA 2021 hawa hapa. Diamond atoka mikono mitupu

mmmhhhhhhh kwa mahaba hayo kwa lil nas itabidi nifatilie mwenendo wako kwa ukaribu
kuwa huru tyuuh kufuatilia, Montero baby n kipenzi changu, yaan leo nna furaha tupu moyo wangu uko full happy, had chakula nakisikilizia kinapoishia,

Montero beibeeeh kajua kunikosha wallah, weuweeeeeeh.
 
Hahah basi sawa
 
Tunaangalia idea ya video bro...Afu kumuhukumu kama na wewe huna dhambi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…