Washindi wa JIKOKi na TIGO

Washindi wa JIKOKi na TIGO

shirowise

Member
Joined
Jul 24, 2007
Posts
26
Reaction score
21
Jamani napenda kuuliza hawa jamaa wa TIGO mbona hatangazi kwenye magazeti washindi wa zawadi mbalimbali za JIKOKI? Jana walisema watamtangaza Mshindi wa Mil 100 mbona sijaona kwenye magazeti?
 
Back
Top Bottom