Ila na wewe bado tu umo! Miaka 10+ ndani ya JF, majukwaa yote!
Best advice ever...jamaa atakuwa huyo gal ni first love wake,kuna watoto wazuri achana nae tafuta mwingine (A woman is praised by beauty and youth nothing else)Amigo go and fetch for another beautiful and trustful gal ....there are bunch of e'm out there....Stop crying for that chota chota puta pendejo,let her go amigo she ain't luv no more
Amen.Umekwepa mishale mingi.Mshukuru Mungu.
Halafu ile avatar yako ilipotelea wapi, ya kipindi hichoHuu uzi nilikuwa kigori,hata nilikuwa bado sijazaa. Ila nilikuwa na busara jamani. Mungu endelea kunilinda mpaka miaka 100+
Miaka 10+ avatar mpya inapendeza zaidi.Halafu ile avatar yako ilipotelea wapi, ya kipindi hicho
Pole sana, jamani tufungue macho hata kama wanasema LOVE IS BLIND. mtu inafikia unatambulishwa kama KAKA alafu unaendeleza libenenke??????!!!!!! pressure nyingine tunajitakia wenyewe, mapenzi ni two way traffic kama hupendwi jua hupendwi na sio mwisho wa dunia. learn to live with it and as time pass utapona vidonda na kumpata uliyefanana naye.
NI HAYO TU.
mkuu huyo mtu achana nae huna haja ya kumtafuta katika simu tenda wema nenda zako huwezi kujua huyo aliyenae ametambulishwa kama nani kwa ndugu jamaa na rafiki zake utakuja kuumbuliwa na kupigwa na butwaa kubwa zaidi achana nae tu kuepusha shari wewe ni msomi kijaze zaidi katika taaluma yako achana na mambo hayo yapite kwanza utapata atakayekufaa msee
siku hizi mafataki wako wengi sana angalia usije ukalia na usomi wako umehangaika we mtu anakuja kukuharibia kwa dakika kadhaa tu
Kama Dr. Shika vile!Miaka 10+ avatar mpya inapendeza zaidi.
Uli na makoye.Kama Dr. Shika vile!
Hahaaa...natena tabhu onene. Ole ndamu hene? Makalibu lolo m'Ng'wanza yiseUli na makoye.