Mtoto wa watu umemtanguliza kiwanja hujampa hata hela ya kuanzia akifika mhudumu anamfata kumsikiliza lakini mama wa watu hana cha kuagiza mpaka akusubili! Masikini ya Mungu mtoto wa watu anakupenda, mpete huo kidoleni. Nasi wazee wa dead balls tunaogopa pete japo tungemnunulia chochote.
Ni ushauri tu wadau msijenge chuki.